israel

  1. U

    JamiiForums Tanzania Maelfu wahudhuria Mazishi ya majenerali wa Iran waliouawa na Israel kwenye mapambano ya siku 12

    Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the Iranian army generals, nuclear scientists and their family members who were killed in Israeli strikes...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Iran hawana jeshi, wana mgambo, ona orodha ya viongozi wakubwa wa jeshi waliouawa kwa siku chache na marubani wa kike wa Israel

    Vita ya siku chache zilizopita Israel walitoa kipaumbele kikubwa kwa marubani wa kike, Hivi ni vichwa vilivyoliwa na marubani wa kike kwa siku 12 tu. Jenerali Mohammad Bagheri – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Iran Aliyesimamia vikosi vyote vya kijeshi vya Iran na ulinzi wa kitaifa. (hapa kwetu...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama Israel yakataa kuahirisha kesi dhidi ya Netanyahu

    Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali. Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya IranYasema Mashambulizi Ya Israel Nchini Iran Yaliua Watu 627.

    Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627. Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya warejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchi Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini Israel iliishambulia Iran je Malengo yametimia??

    Nyota zilijipanga': Kwa nini Israeli ilianza vita dhidi ya Iran, na nini ilichopata. IDF iliona kuongezeka kwa tishio la nyuklia, pamoja na kuanguka kwa vikundi vya Hamas,Hezbollah na Houth, na utayari wake wa kuchukua hatua kufikia kilele; ‘tishio lililopo’ limeondolewa, lakini Iran itaendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'

    Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao. Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio...
  10. JamiiForums Tanzania Urusi na ututuki zaingiwa na hofu baada ya Israel kutawala anga la Iran na kuangamiza kila walichotaka

    Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno. Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na mshituko mkubwa kutokana na umahiri wa Israel kwenye medani za kivita na katika kuchukua anga la nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yawakamata na kuwanyonga washukiwa kufuatia mzozo wa Israel

    Mamlaka ya Iran imewakamata na kuwanyonga watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa na uhusiano na mashirika ya kijasusi ya Israel, kutokana na vita vya hivi majuzi kati ya nchi hizo mbili. Hatua hiyo inawadia baada ya kile maafisa wanaelezea kama kuingiliwa kwa huduma za usalama wa Iran na maajenti wa...
  12. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel katika soko la Gaza laua Wapalestina 18, madaktari wanasema

    Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa Gaza, madaktari wameiambia BBC. Walioshuhudia tukio hilo walisema ndege zisizo na rubani za Israel...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lijue kombora la Iran linalofika Israel kwa dakika 7 tu

    Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7' Chanzo cha picha: Getty Images Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008 Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote...
  14. JamiiForums Tanzania Israel imefanya pigo kubwa katika sehemu nyeti za IRGC.Akiwa amelegea, sasa ni wakati wa wana Iran wamrudishe simba wa uajemi katika bendera yao.

    UTAPELI WA ITIKADI KALI: IRAN YA UKWELI: Majenerali chali Nyuklia chali Mifumo ya kifedha chali Mitambo ya silaha chali Wanasayansi wa nyuklia chali Trust ya wananchi chalii
  15. JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

    Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel. Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomen Israel Ingevurugwa Yote

    Ujumbe ndio huo Israel angejifanya kichwa maji Iran angeimaliza Israel yote. https://www.youtube.com/live/lApYRMw7eHQ?si=mCrHvVQZ4D4AqEkY https://www.reuters.com/world/middle-east/supreme-leader-first-appearance-since-ceasefire-says-iran-would-strike-back-if-2025-06-26/
  18. JamiiForums Tanzania 2017, Katika kikao cha UN Waarabu wali-ilaani Israel kwa ubaguz na ukandamizaj. Kuna mwamba aliwauliza kwa kishujaa, "Je nyie wayahud wenu wako wapi?"

    Swali la Neuer lilirejelea hatima ya takriban wakimbizi wa Kiyahudi 850,000 waliokimbia au kufukuzwa kutoka nchi za Kiarabu na Iran kati ya miaka ya 1940 na 1970. Akionyesha kwamba mataifa haya, ambayo hapo awali yalikuwa na jumuiya kubwa za Kiyahudi (k.m., 140,000 nchini Algeria, 135,000...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameitaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara mora ushirikiano na Israel Kutokana na hali mbaya ya mauaji Gaza

    Waziri Mkuu wa Uhispania Sanchez wa Uhispania mapema leo amesema Gaza iko katika kile amekitaja kuwa "hali mbaya ya mauaji ya halaiki" na ameutaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara moja mpango wake wa ushirikiano na Israel Kauli hiyo ya Sanchez inaonekana kuwa kali zaidi kuwahi kutolewa, na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia israel kwenye vita tulizuia drones kadhaa za Iran-"Ufaransa

    Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet -Sebastian Le cornu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…