israel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wacharuka kuhusu matamshi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu dhana ya “Israel Kuu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE ilitoa taarifa kwa lugha kali ikilaani kabisa matamshi ya Netanyahu kuhusu “Greater Israel” ambayo yaliwezekana yakimaanisha kueneza eneo la Israel kuzidi mipaka yake iliyothibitishwa kimataifa. UAE ilisema matamshi hayo ni ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa na...
  2. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kubinywa huko Lebanon na Majeshi ya Israel

    Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza. Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Seneta wa Marekani atishia taifa lake kwa adhabu ya Mungu kwa kuacha kusaidia Israel

    Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonya kuwa ikiwa Marekani itasitisha misaada kwa Israel, basi Mungu atailetea taifa hilo adhabu. Akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya 58 ya “Silver Elephant Gala” huko South Carolina, Graham alisisitiza kuwa Israel ni mshirika wa karibu zaidi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Napata shida kwenye vita ya Israel na Palestine

    Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
  5. JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Mike Huckabee — Hazina Kuu ya Kifahm na Kifikra kwa Israel

    Ni nadra sana kushuhudia Piers Morgan akikubali mtazamo wa dunia ulio tofauti kabisa na msimamo wake. Piers Morgan, ambaye yeye mwenyewe ni mashine kali ya hoja na fikra, anajulikana kwa kuingilia hoja za wapinzani wake na mara nyingi kuzikatisha au kuzipangua vilivyo katika mijadala. Lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

    Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ujerumani kusitisha uuzaji wa silaha kwa Israel zinazoweza kutumika Gaza, Merz asema

    Wanaukumbi. Ujerumani itasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Israel ambazo zinaweza kutumika katika Ukanda wa Gaza, Kansela Friedrich Merz anasema kutokana na mipango ya Israel ya kuuteka mji wa Gaza. Akizungumza muda mchache uliopita, Merz amesema serikali yake haitaidhinisha usafirishaji...
  9. JamiiForums Tanzania Make Gaza Israel Again ndiyo kiboko cha Magaidi huko Gaza!!

    Israel kuchukua udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza Netanyahu ameifanya kazi nzuri sana leo hii na atasababisha yafuatayo: Hamas itaondolewa milele!!. Hali ya ugaidi haitakuwapo tena. Na kwa upande wa magaidi sasa hivi ni hofu tu. Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema mambo 7...
  10. JamiiForums Tanzania Asante waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kuirudisha Gaza Israel tena

    🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas. IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano. Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  12. JamiiForums Tanzania Israel: Netanyahu akabiliwa na upinzani wa jeshi kwa ukaliaji kamili Gaza

    Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
  13. JamiiForums Tanzania Iran yamnyonga aliyekutwa na hatia ya kuwa jasusi wa Israel

    Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel. Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Hizbullah wasema mvua ya makombora kuanza kuinyeshea tena Israel isipoacha kuishambulia Lebanon

    Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon. Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wahouthi warusha tena makombora kuelekea Israel

    Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo. Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya Israel, kutokana na kombora hilo. Jeshi hilo halikusema ikiwa kombora hilo lilidunguliwa kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  17. JamiiForums Tanzania Netanyahu alisema Gaza hamna njaa leo analalimika Mateka wa Israel wanayimwa chakula

    Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

    Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi katika Mashariki ya Kati. Picha na video za ziara yake zinaonyesha Ben-Gvir akiongoza maombi ya Kiyahudi...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

    Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…