Wapalestina wasiopungua 20 wameripotiwa kupoteza maisha siku ya Julai 16,2025, katika kituo cha kugawa misaada cha Gaza Humanitarian Foundation (GHF) kilichopo Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza, huku kukiwa na maelezo yanayopingana kuhusu chanzo cha msongamano huo wa umati
GHF, shirika...