israel

  1. JamiiForums Tanzania Israel na Muongozo wa Hannibal Hakuna Kuchukua Mateka Awe Nduguyo au Adui

    https://youtu.be/c4EGGCQOP8Y?si=OQ9CRNg2tPDHN3qb
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mossad na Israel kwa ujumla

    1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia katika kujilinda wakasahau na huku Afrika. Serikali ya Israel isijiamini sana kwamba serikali za nchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia apinga uvamizi wa Israel kwenye ardhi yake.

    Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ameiambia Al Jazeera kuwa nchi yake haitakubali uwepo wa Israel nchini humo "chini ya hali yoyote ile" na itapinga jaribio lolote la kuvutwa katika migogoro ya Mashariki ya Kati. Rais wa Somaliland na waziri mkuu wa Israel. Katika mahojiano maalum...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Israel inaamini ni Bora wakuogope kuliko wakupende

    Kwa wanachofanya Israel hapo mashariki ya kati licha ya kelele nyingi zinazopigwa Hawa jamaa bado wanaishambulia tu Gaza na Lebanon
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampongeza Rubani Smit Machchhar wa Flydubai aliyeharibu mpango wa Gaidi la kiarabu!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alimsifu rubani wa India Kapteni Smit Machchhar kwa ushujaa wake wakati wa shambulio la Flydubai, akisema aliwaokoa watu 174, wakiwemo raia wa Israeli na raia wengine. Kulingana na Netanyahu, Machchhar alidungwa kisu na kujeruhiwa vibaya lakini alipigana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rubani alipiga ukunga “ALLAH AKBAR!” kabla ya kumchoma kisu nahodha aliyemzuia asidonoshe ndege Israel, Madaktari wa Saudi Arabia watoa msaada

    Mods naombeni msiunganishe uzi, nyuzi nyingi vichwa havijagusia lengo la rubani pamoja na uhusika wa Saudi Arabia kupeleka madaktari kusaidia abiria. Rubani msaidizi kutoka Oman anadaiwa kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege ya Flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv, ikiwa na zaidi ya watu 170...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel?

    Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (droni), kama ilivyotokea Aprili 2024 na katika wimbi la mashambulizi ya baadaye...
  12. JamiiForums Tanzania Israel is a leading global center for medical technology

    No body can "willingly"avoid Israel technological advances
  13. JamiiForums Tanzania Pastor kutoka naijeria akiwashukuru US na Israel kwa kuwasaidia dhid ya magaidi ya kijihad wanaowaua ila wewe upo tegeta nyuki umewanunia israel na US

  14. JamiiForums Tanzania Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta." Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya...
  15. JamiiForums Tanzania Turkey anafanya madhara kwa wakurdi, syria na cyprus. UAE anafadhili machafuko huko Sudan lakini tunapaswa kufundishwa kuwa US na Israel ndio shetani

    Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye redio za mbao
  16. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Spika : Je Iran itatimiza lini lengo lake la kuifuta Israel? Maana naona muda unaenda

    Iran walisema siku Israel ikitia mguu mle ndani au kumgusa kHayatollah ingefutwa ulimwenguni. Ni miezi mingi imepita toka tukio hilo lifanyike. Je ni kwamba bado wanajipanga au wanafanya mazoezi? Je nini kimekuwa kigumu kumtia adabu Israel asiwe mjeuri kiasi cha kutuma mabinti kuingia Irani na...
  17. JamiiForums Tanzania Israel ni nchi au ni jina la mtu...?

    Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo . Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale Palestine. Israel ni nini. Katika vitabu vya Quran na biblia,jina Israel ni jina la mtu wala siyo nchi ...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Saudi Arabia kujiunga na Abraham Accorda kutakuwa na faida pande zote Israel na Saudia!!

    Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, akizungumzia uhusiano kati ya Israel na Saudi Arabia: Waisraeli wangefurahia sana kufikia makubaliano ya kiusalama na Saudi Arabia, na wangependa kuona Saudia ikijiunga na Makubaliano ya Abraham. Hakuna kusita kwa upande wa Israel katika suala...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa? Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
  20. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana mtu kuacha kumuamini Mungu, dini akiwa katika familia ya Ukristo au Uislamu

    Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…