iringa mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  2. A

    KERO NEMC na Polisi Iringa Mjini Mmelala? Bodaboda zinapiga kelele sana

    Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
  3. pangalashaba

    KERO Vifusi barabara ya mitaa ya Isoka A na Isoka B kuelekea Hospital ya Wilaya ya Iringa mjini kutosambzwa zaidi ya mwezi

    Vifusi vilivyopo katika mitaa tajwa hapo juu vimekuwa kero kwa wananchi wa mitaa hiyo kwani ndiyo barabara kuu waitumiayo kwenda Hospital ya Wilaya, Frelimo katika manispaa ya Iringa. Vifusi hivyo vilimwaga tangu July 2025 lakini havijasambazwa mpaka leo hii. Wananchi wa mitaa hiyo wanapata...
  4. tinWyn

    Ametoroka shuleni!

    AMETOROKA SHULENI! Mtoto wetu DAVID R. KIGELULYE, kimo ~5ft. Mara ya mwisho kuonekana Iringa – Shule ya San Giovanni Paolo Sec, tarehe 20/08/2025. Tafadhali yeyote mwenye taarifa atujuze mara moja 🙏. Piga: 📞 +255 714 220 3363 / +255 675 962 254
  5. Allen Kilewella

    GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

    Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega.. Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza...
  6. W

    GE2025 Peter Msigwa apenya Iringa Mjini

    Aliyekuwa kada wa CHADEMA Peter Msigwa amepenya kwenye hatua ya awali katika jimbo la Iringa mjini. Miongoni mwa aliopita nao ni Jesca Msambatavangu mbunge anayemaliza muda wake hivi sasa.
  7. Just Pray

    GE2025 Wakili Ambindwile ajitosa rasmi achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini

    Ambindwile ambaye ni mtaalamu wa sheria mwenye uzoefu mpana, ambaye pia ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya sheria ya The Icon Law Corporate Attorneys, yenye makao yake makuu katika jengo la Law House, Mkoani Iringa. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa...
  9. A

    PreGE2025 Iringa Mjini wamtaja Daudi Masasi ubunge 2025

    Anaitwa Daudi Masasi. Huyu ni mzaliwa wa Iringa pande za Nyanda za Juu Kusini. Mbali na kuzaliwa na kukulia Iringa pia ni mfanyabiashara kwa muda mrefu akiwa pia mdau wa habari. Alianza kuvuma mwaka 1996 alipoanza kutoa Jarida la Burudani lililojulikana kwa jina la Tabasamu. Jarida la Tabasamu...
  10. Rula ya Mafisadi

    PreGE2025 VIDEO: Peter Msigwa Wana Iringa wamekupuuza sana jaribu kufanya "a clear recalculation" kama kweli unataka kuwa Mbunge tena wa Iringa mjini

    KWA NYOMI HILI LA CHADEMA IRINGA MJINI NI WAZI JIMBO HILI NI LA CHADEMA TENA NOV 2025. My bother Peter Msigwa kazi ulioifanya ya kumwondoa Freeman Mbowe kwenye Uenyekiti CHADEMA ni njema sana ila sasa hii team Tundu Lissu na John Heche ina balaa zaidi ya ile ya Freeman Mbowe. Watoto wa...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Peter Msigwa: No Reforms No Election ni mkakati butu na dhaifu wa kukimbia Uchaguzi

    Wakuu, Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa. Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.
  12. Don Gorgon

    LGE2024 Afisa Uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini: Hatuna Taarifa rasmi ya CHADEMA kususia Uchaguzi

    Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024...
  13. Just Pray

    LGE2024 CHADEMA Iringa mjini wasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Iringa Mjini kimesusia uchaguzi wa serikali za mtaa kwa Kilee walichokiita kutoridhishwa na mwenendo mzima wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa mjini. Akizungumza na Nuru Fm mwenyekiti wa Chama Cha Dermokrasia Na Mandeleo {Chadema} Jimbo...
  14. christopher mlewa

    KERO Mtaa wa Mashine Tatu Iringa umekuwa mbovu kupindukia

    Habarini ndugu zangu, Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Mtaa namba moja kwa shughuli nyingi ni Miyomboni. Ndugu zangu, mtaa huu...
  15. Kimbesa11

    Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  16. Perry

    Iringa mjini mtu ukiumwa usiku unaweza kufa, hakuna Hospitali au Zahanati wanayokesha.

    Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan. Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
  17. tang'ana

    Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

    Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA. So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka. Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny. Asante
  18. kyagata

    Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Asas atoa Smartphone 18 kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na kuongeza nguvu katika zoezi la Usajili wa Wanachama wa CCM Iringa mjini kwa njia ya Kielekroniki. Soma...
  20. J

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa na MNEC Kasesela kuunguruma Iringa Mjini 20/07/2024, wataelezea Mabaya yote ya CHADEMA mkoani hapo!

    Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo Ahsanteni Sana 😂😂 Kwako Mzee Mgaya
Back
Top Bottom