Hawa Makafir tumeshawaweza tunataka mazungumzo ya nini nao? Tuendelee tu kupambana nao Irani inaenda kuwa Taifa kubwa Duniani. Marekani na Israel kwisha habari yao. Wameishiwa mabomu.
Wao walikuwa wanalipua michoro na matoy tu. Lakini silaha zenyewe sisi tunazo hatujatumia hata asilimia 1. Sasa...
Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora...
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
ardhini
bila
imara
iran
irani
israel
kidini
kubadili
kutoka
kutokana
kuweka
marekani
marekani na israel
mfumo
mfumo wa utawala
ndani
sharia
utawala
vikosi
Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe.
Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali kushiriki kama mwangalizi tu, vyanzo vyenye taarifa sahihi vimethibitisha kwa News24.
Ombi hilo...
Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
Katika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote...
Akizungumza leo kwenye press Gen Caine akiwa na Waziri wa ulinzi amesema kwamba shambulizi la jumapili iliyopita kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 iliyopita kwa kufanyia utafiti kila kitu kuanzia mazingira,miundombinu na siraha gani iundwe kwa ajili ya kufanikisha...
Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma.
Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima
Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa...
Trump anaishukuru Iran kwa kutoa notisi ya mapema ya Marekani, anasema sasa ni wakati wa amani "Iran imeitikia rasmi Ufutaji wetu wa Vifaa vyao vya Nyuklia kwa jibu dhaifu sana, ambalo tulitarajia, na tumekabiliana kwa ufanisi sana,"
Rais wa Marekani Donald Trump alisema katika chapisho kwenye...
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:
Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
The United States says China should pressure Iran not to close the Strait of Hormuz.
WASHINGTON, June 22 (Reuters) - U.S. Secretary of State Marco Rubio on Sunday called on China to encourage Iran to not shut down the Strait of Hormuz after Washington carried out strikes on Iranian nuclear...
Salamu wakuu,
Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya Utusi kumkingia kifua Irani na ingeweza kupelekea WW3, lakini haijawa ivo.
Nafikiria sababu nne...
Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha.
Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha.
Bora vita imeisha.
Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake.
Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.