iran

  1. JamiiForums Tanzania Jasusi wa Iran adakwa Israel

    Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi. Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini, miongoni mwa raia maisha yanaendelea kama kawaida na kuna to and fro za kawaida kati ya raia wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  3. JamiiForums Tanzania Iran: Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran yawasihi Raia wao kuepuka safari zisizo na lazima kwenda Ufaransa kufuatia machafuko yanayoendelea

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea. Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na serikali ya Ufaransa kujizuia kutumia mabavu kutuliza vurugu zinazoendelea na kuzingatia matakwa ya...
  4. JamiiForums Tanzania TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji

    TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji | TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji
  5. JamiiForums Tanzania Israeli wapiga maslahi na makundi ya Iran nchini Syria

    Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu. Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29. Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at several locations in Damascus early May 29. There were no immediate reports of casualties or material...
  6. JamiiForums Tanzania Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

    Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine waangusha drones 35 za Iran kwa usiku mmoja

    Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana...... =========================== Ukraine air defenses shot down 35 Iranian-made drones over Kyiv in Russia's...
  8. JamiiForums Tanzania Iran wamebaki kushangaa huku Marekani wakipitisha drone ya boat pale Strait of Hormuz

    Aina mpya ya drone boat, yaani aina ya mashua inayosafiri yenyewe bila nahodha na yenye uwezo mkubwa, imepita pale Strait of Hormuz huku Irain wakishangaa shangaa... ======================= The U.S. Navy sailed its first drone boat through the strategic Strait of Hormuz on Wednesday, a crucial...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

    Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia..... Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  11. JamiiForums Tanzania Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Saudi Arabia na Iran yadhihirisha diplomasia ya amani ya China

    Machi 10, 2023, China, Saudi Arabia na Iran zilitoa taarifa ya pamoja mjini Baijing, ikitangaza kuwa nchi hizo mbili za Mashariki ya Kati zitarejesha uhusiano wa kidiplomasia na kutekeleza makubaliano muhimu ya pande mbili yaliyositishwa kwa miaka saba. Maendeleo hayo adimu ya kidiplomasia...
  13. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Iran wauawa na shambulizi la Marekani

    Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa.... US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following a drone attack that killed one American contractor and wounded five US service personnel, a war...
  14. JamiiForums Tanzania Kambi za Jeshi la Marekani Zashambuliwa na Iran nchini Syria

    Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo. Dunia Inako Elekea Nipatamu sana The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Uingereza lakamata silaha na mizinga ya Iran iliyokua kwenye meli

    Iran inapumuliwa kote, kwa sasa inafuatiliwa kwa makini, meli yoyote yenye silaha za Iran ni halali ya wababe wa dunia hii.... The British navy seized anti-tank missiles and fins for ballistic missile assemblies during a raid on a small boat heading from Iran likely to Yemen, authorities said...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Iran imejaribiwa, wakagundua ni mdebwedo. Leo tena yashambuliwa usiku

    Mji wa Kerdzh huko Iran umeshambuliwa , kuna air defence activities zinazoendelea kulinda anga
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano Iran bado yako pale pale, wamdhamiria kuondokana na udhulumaji wa kidini

    Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo. Mayatollah wanalo..... ===================== Protesters in Iran have marched through the streets of...
  18. JamiiForums Tanzania Kha! Iran yaomba Taliban walegeze sheria za kidini za kuwanyanyasa wanawake

    Ni ajabu sikujua ipo siku hawa watu watakuja kuanza kubadilika na kuacha uzombi wa kidini.... China and Iran have urged mutual neighbor Afghanistan to end restrictions on women's work and education. The call came in a joint statement Thursday issued at the close of a visit to Beijing by...
  19. JamiiForums Tanzania Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

    Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…