iran

  1. JamiiForums Tanzania Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president? By Reuters May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who became interim president following the death of Ebrahim Raisi in a helicopter crash. As interim...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

    Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na...
  4. JamiiForums Tanzania HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  7. JamiiForums Tanzania Iran wanaamini ajali hio ya kawaida. Je, Ni kweli?

    Peace, Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais" na nyingine zinaendelea na safari huku mawasiliano ya chopa zote 3 yakifanyika "muda wote" na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi. Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tani 47,000 za mafuta ya kupikia yaliyokwisha muda wake na yenye sumu yamesambazwa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Inadaiwa kuwa jumla ya tani 47,000 za mafuta ya kupikia yasiyokwisha muda wake na yenye sumu toxic yamesambazwa kwa walaji nchini Iran Inadaiwa mafuta hayo ni sehemu ya Tani 91,000 za mafuta zilizoagizwa na nchi hiyo kutokea nchini Argentina na uturuki mwaka 2021. Hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Japo vita vya Gaza vinakaribia ukingoni, Israel itaingia kidogo Rafah kuwaridhisha wahafidhina wa kiyahudi kama ilivyofanya baada ya kipigo cha Iran

    Makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza baada ya miezi sita ya mapigano makali yamekuwa magumu kufikiwa baina ya Hamas na Israel. Hata hivyo kutokana na kuelemewa kwa Marekani na Israel na upinzani juu ya vita hivyo sasa kuna dalili za kutosha kuwa ukaidi wa Benjamin Netanyahu umefikia kikomo...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  14. JamiiForums Tanzania Argentina yatoa amri ya kukamatwa kwa Waziri wa Iran aliyelipua bomu nchini humo

    Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina...... --- The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning. The AMIA...
  15. JamiiForums Tanzania Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

    Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike. Tukio hilo lilitokea Aprili 12, katika mechi kati ya Esteghlal FC na Aluminium Arak wakati shabiki mdogo wa kike...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sina maneno mengi, video inajitosheleza https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
  19. JamiiForums Tanzania Nwo washirika na wajumbe

    Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran ulipigwa katika shumbulizi la Israel

    Uchambuzi wa picha za satelaiti zilizopatikana na Iran International unathibitisha ripoti za vyombo vya habari kwamba sehemu ya kati ya mfumo wa ulinzi wa anga katika kituo cha anga cha Irani huko Isfahan ilipigwa na shambulio la Israeli siku ya Ijumaa. Shambulio la usiku mmoja limekuwa suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…