iran

  1. JamiiForums Tanzania Shambulio la Iran; IDF wako vizuri sana kwenye intelijensia

    Tazama jinsi mmoja wa viongozi walio uwawa alivyopigwa akiwa chumbani kwake sijui amelala au anamgegeda wife Unajiuliza hawa jamaa walikusanya vipi hizi intel na kupiga shabaha zao zote kwa ufani mkubwa? Halafu kuna watu wanadai eti pale Gaza IDF inakazi ya kupiga wanawake na watoto Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

    Iran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini.... IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones ByAMICHAI...
  3. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  4. JamiiForums Tanzania Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

    Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kiuwezo Iran kazidiwa mbali sana na Israel Aache wananchi wake waishi kwa Amani

    Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi . Umeshindwa kujilinda lakini pia umeshindwa hata kushambulia ,na aibu zaidi wewe unategemea Drones za kizamani .
  6. JamiiForums Tanzania Tuendelee kupata matamko ya Hayatollah Khomein kuhusiana na vita ya Israel vs Iran. Toka Al Jazeera

    Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
  7. JamiiForums Tanzania Israel imekuwa ikiimezea/itamani Iran muda mrefu sana. So whatever inachofanya sasa ilishajiandaa na kupiga hesabu

    Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana kabisa kwamba Israel inaweza kuwa na majasusi wenye asili ya Kiirani, au hata Wayahudi wenye uraia wa Iran

    Historia ya Wayahudi wa Iran ilianza Iran (zamani ikiitwa Uajemi) imekuwa na jumuiya ya Wayahudi kwa maelfu ya miaka. Kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, kulikuwa na zaidi ya Wayahudi 80,000 nchini Iran. Hata baada ya mapinduzi, Wayahudi wengi walihamia Israel, Marekani, au Ulaya — lakini...
  9. JamiiForums Tanzania IDF yamuua Ali Akbar Ahmadian, Katibu wa Baraza la Usalama la Iran

    Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
  10. W

    JamiiForums Tanzania Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

    Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.) Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  13. JamiiForums Tanzania Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

    Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao. Nasemaje nasemaje nasemaje Israel piga hayo magaidi ya dini. Wayahudi wana historia ya kushinda vita hata kabla hiyo...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  15. JamiiForums Tanzania Iran inajiandaa kuitwanga Israel

    Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi. Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu. #TUTAKUWEPO BREAKING: 🇮🇱🇮🇷 Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York Times reports Iranian military and government officials have already met to discuss their response...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Israel ikaishambulia Iran ndani ya wiki hii

    Kutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii. Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote waliokuwa wanabeza uwezo wake kijeshi dhidi ya mahasimu wake huko Mashariki ya kati.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyorudisha nyuma Ujasusi wa Marekani kwa miongo mingi nyuma baada ya mapinduzi ya 1979

    Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe. Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
  19. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Iran ashukuru kwa kupata taarifa za kijasusi kutoka Israel!!

    Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami: Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi. Taarifa hizo zinasaidia katika juhudi za kuliangamiza taifa la Israel. Pigo hili la kijasusi sio la...
  20. JamiiForums Tanzania Silaha za magendo kutoka Iran kwenda kwa Hezbollah zakamatwa huko Homs,Syria

    Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon. Ikumbukwe kuwa utawala mpya wa Syria unapinga kabisa nchi hiyo kuwa njia ya kusafirisha silaha kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…