Baada ya Israel kuishambulia Iran
Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran...
Huku tukidhani kuwa air defense ya Iran imemalizwa nguvu, leo Iran imefanikiwa kudungua ndege mbili aina ya F-35 ambazo ni stealth (Hazionekani katika radar). Hatma ya Marubani wa ndege hizo haijulikani
--------------------------
Logo
News / Defense / Iran Retaliation
Iran...
Timu nyingi za zima moto kutoka kituo cha Hadera zinapambana na moto kwenye banda la kuku huko Ma'ayan Tzvi.
Banda la Kuku - Ma'ayan Tzvi Huduma ya zima moto na uokoaji
Timu nyingi za zima moto kutoka kituo cha Hadera, chini ya uongozi wa Reshef Idan Khaliva, kwa sasa wanapambana na moto...
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi
❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:
▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory...
Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga.
Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
Mashambulizi haya yametikisa misingi ya ulinzi wa Iran, uu si mzozo wa kawaida, ni vita ya akili, ujasusi na teknolojia.
Ndani ya lisaa pekee usiku wa manane Israel waliweza kushambulia viongozi wakuu wa majeshi ya Iran na wanasanyansi wakubwa wa nuclear,
Israel haipigani vita, Inajilinda...
Sirens are sounding across Israel amid a major Iranian ballistic missile attack.
An estimated 100 missiles were launched from Iran at Israel, according to an Israeli military source. Detecting missile attack from Iran, IDF orders civilians to enter shelters
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:07...
Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan...
Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran irudi haraka kwenye meza ya mazungumzo na kusaini makubaliano ya kusitisha mpango wa nyuklia kabla haijapoteza kila kitu. Rais Trump ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Truth social Taarifa hiyo nmekuekea hapo chini kwenye comments
Trump amesema...
Wadau hamjamboni nyote. Kumekucha kumekucha. June 13, 2025
Iran’s new Guards chief says ‘gates of hell’ will open on Israel
Kamanda mpya aliyeapishwa wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC), Mohammad Pakpour, ametishia kulipiza kisasi kwa kufungua “milango ya kuzimu” dhidi...
Hiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana
Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 13 Juni 2025...
Wadau hamjamboni nyote. Advertisement
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana.
"Agizo hilo lilitolewa muda...
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.
Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel.
Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake
Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel...
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya...
Wadau hamjamboni nyote.
Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, kufuatia shambulio kubwa la Israel dhidi ya nchi hiyo. "Saa chache zilizopita, mlipuko mkubwa...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kukutana baadaye leo Ijumaa kujadili mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran, wamesema wanadiplomasia.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliomba kikao hicho kupitia barua kwa Baraza hilo lenye wanachama 15, akisema kuwa "Israel sasa...
Kwa makobazi wa kike na wa kiume, hii ni ngumu kumeza.
Sasa ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kiongozi wa Iran asiyegusika.
Hiyo ni pamoja na Ayatollah pamoja na Rais wa Iran.
Sitoshangaa Israel ikiwa inajua hadi kitanda anacholalia Ayatollah kikoje.
Israel imeonyesha uwezo wa kuwafyekelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.