Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing.
Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran
Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina
Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza.
Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga.
Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
Kama hatujui bora tunyamaze ila tutambue kuwa Israel anapata sapoti ya kupita kwenye anga za nchi tofauti na kupiga katika anga la Irani,kama Israel angetumia mabomu ya mbali basi zile system za kuintecept mabomu za Irani zingekuwa vyema na Israel angeshindwa mapema.
Israel anafanikiwa kupiga...
Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote.
Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha.
Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia.
Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni...
Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi.
--------------
In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu....
The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila anachosahau ni kwamba adui yake amemzidi kwanye teknologia zote na ujasusi na ushushushu..
Hii...
Kwene vita Majeruhi wa kwanza wa vita hua ni Ukweli.
Mimi technophilic nitafanya kazi ya kuverify Ukweli na Propaganda
Unaweza tuma picha au video nikaverify
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel.
Round hii wameenda wengi zaidi...
Hii sio sasa maana Usrael wanaingia na kutoka kwenye anga la Iran utadhani wanacheza game.
Mikwara yote ile tuliyokuwa tunasikia ya mifumo imara ya ulinzi wa anga imegeuka kuwa kama kituko, Hivi kweli ina make sense katika ndege zote hizi zinazokwenda kushambulia Iran hakuna hata moja...
Hii ni tamaduni ya kiarabu kuongoza kwa usaliti na unafki...Ni rahisi sana Baba wa kiarabu kumzalisha mkwe wake...
Ni rahisi sana kuwagombanisha familia za kiarabu kupitia mali...
Ndio maana uoana wenyewe kwa wenyew kwenye familia ili tu kwa ubinafsi waliona..
Ndio maana kwenye ya kiislamu...
Kwa nini Ukraine na Iran haziachawi zijiamulia mambo yake wenyewe kama kumiliki silaha za nyuklia na kujiunga na jumuiya zinazoona zina maslahi kwao kama mataifa huru?
Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55 mchana Msemaji wa IDF Brig.
Jenerali Effie Defrin, katika mkutano na waandishi wa habari, anasema...
Wadau hamjamboni nyote.
Jeshi la anga la Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini cha ardhi cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora magharibi mwa Iran leo.
Jeshi la anga la Israel limeshambulia kwa mabomu kituo cha silaha za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.