iran

  1. Israel inaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, jeshi lasema

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran. Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran". Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
  2. China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  3. U

    Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

    Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
  4. Hii misumari ya Iran ni balaa

    Video hapo chini
  5. 5

    Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  6. 5

    Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

    Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi
  7. Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  8. Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  9. Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  10. Iran umenivunja moyo wangu

    Nimeishi maisha yangu nikijua kua Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani.. Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!! Leo naandika kwa machozi mazito Aaah😭😭 irani umenivua nguo. Wenzio wamepeleka ndege wew...
  11. U

    Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  12. Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

    Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel. Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
  13. Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

    Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu makali Katz amesema mashambulizi ya Iran yatajibiwa kwa viwango vya juu kuharibu uwezo wa Iran...
  14. U

    Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  15. U

    Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  16. U

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
  17. U

    Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  18. U

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes By AFP Today, 10:48 am Two senior Iranian generals have been killed in Israeli strikes, state television reports, as Israel kept up its assault on Iran’s military and nuclear capabilities. General Gholamreza Mehrabi, deputy head...
  19. Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
  20. Takwimu za Mashambulizi yetu Iran zidi ya Mazayuni

    TUENDELEE KUIOMBEA IRAN ILI IWEZE LIPIZA KISASI KWA WALICHOTUFANYA HAWA MAZAYUNI. WAMETUTIA VIDOLE TUMEISHIA KUWARUSHIA MAWE. Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel (Juni 13-14, 2025) Aina ya Mashambulizi Iran ilirusha zaidi ya 100 droni, makombora ya balistiki, na makombora ya cruise. Baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…