ipi bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  2. Vien

    Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

    Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
  3. I

    GTX vs RTX: Tofauti Kuu, Faida, na Ni Ipi Bora kwa Laptop za 2025

    Tofauti Kati ya GTX na RTX Na Its MalekoGJ Kama umewahi kununua laptop au desktop yenye graphics card, kuna uwezekano mkubwa umekutana na maneno GTX au RTX kwenye maelezo ya kifaa. Lakini, je, unajua tofauti halisi kati ya hizi mbili? 🤔 Kwa ufupi GTX ni teknolojia ya zamani zaidi ya graphics...
  4. Ricky Blair

    Ipi Bora? Kumpenda mtu ambaye hajakupenda au Kumpenda mtu naye akakupenda mkawa kwenye mahusiano

    Ipi Bora wakuu? Kumpenda mtu ambaye hajakupenda na ukaumia kwa kutoweza kuwa naye au Kumpenda mtu naye akakupenda mkawa kwenye mahusiano na yakaja kuisha na mahusiano yakavunjika na ukaumia. Ipi bora?
  5. 888I

    UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  6. Loading failed

    Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  7. Equation x

    Ndoa na kazi ipi bora?

    Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi. Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake. Hii imekuwa...
  8. Jbst

    Kati ya haier na hisense ipi bora?

    Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara. Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
  9. posian el

    Flac file Vs MP3 320kbps ipi bora

    Wakuu kama title inavyoeleza naomba kujua tofauti iliyopo kati ya audio flac file na mp3 320kbps ....... Na sehemu website au apps gani naweza download hizo flac file zenye quality nzuri..... Natanguliza shukrani....
  10. Z

    Kati ya diploma ya medical laboratory na radiology ipi Bora ?

    Habari za muda huu wakuu, Naomba mnisaidie kujibu swali tajwa hapo juu, ipi ni kozi nzuri kusoma Kati ya hizo kwenye nyanja ya kuajiriwa pamoja na kuajiriwa. Japo lengo langu kubwa ni kujiajiri. Karibuni kwa michango yenu
  11. Upepo wa Pesa

    Ipi bora? Lipa namba ya CRDB/NMB au Lipa ya Vodacom/tigo?

    Je kwa biashara ni ipi bora kati ya Lipa ya voda na lipa za mabenki kama CRDB au NMB? Ni ipi haina makato makubwa kwa mteja (wakati wa malipo) na mfanyabiashara (wakati wa kutoa ela)? Naomba kujua ili nifanye maamuzi.
  12. The Dictator

    Ipi bora; Kahawa au Energy drink?

    - KAHAWA au ENERGY DRINKS (za viwandani) ipi bora?. * KAHAWA: kinywaji cha asili chenye sifa ya kuongeza nguvu ya ziada kinachotokana na mimea. * ENERGY DRINKS: Vinywaji hivi vya kuongeza nguvu ya ziada kutoka viwandani. ~Vinywaji hivi vimeibuka kuwa maarufu sana hasa kwa vijana ambapo...
  13. Moto wa volcano

    Kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi ni nzuri kwa afya ya akili

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Nahitaji maoni ya wadau Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa
Back
Top Bottom