Wakuu kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu nimejifanyia analysis kujua kwa nini nina income kidogo ukilinganisha na mahitaji ya kila mwaka.
Katika kujifanyia fair anaysis nikapata vikwazo saba, one of them is that I'm not engaged in high income generating activities leave alone lacking regular...