interview

An interview is essentially a structured conversation where one participant asks questions, and the other provides answers. In common parlance, the word "interview" refers to a one-on-one conversation between an interviewer and an interviewee. The interviewer asks questions to which the interviewee responds, usually providing information. That information may be used or provided to other audiences immediately or later. This feature is common to many types of interviews – a job interview or interview with a witness to an event may have no other audience present at the time, but the answers will be later provided to others in the employment or investigative process. An interview may also transfer information in both directions.
Interviews usually take place face-to-face and in person but the parties may instead be separated geographically, as in videoconferencing or telephone interviews. Interviews almost always involve spoken conversation between two or more parties. In some instances a "conversation" can happen between two persons who type their questions and answers.
Interviews can be unstructured, free-wheeling and open-ended conversations without predetermined plan or prearranged questions. One form of unstructured interview is a focused interview in which the interviewer consciously and consistently guides the conversation so that the interviewee's responses do not stray from the main research topic or idea. Interviews can also be highly structured conversations in which specific questions occur in a specified order. They can follow diverse formats; for example, in a ladder interview, a respondent's answers typically guide subsequent interviews, with the object being to explore a respondent's subconscious motives. Typically the interviewer has some way of recording the information that is gleaned from the interviewee, often by keeping notes with a pencil and paper, or with a video or audio recorder. Interviews usually have a limited duration, with a beginning and an ending.
The traditional two-person interview format, sometimes called a one-on-one interview, permits direct questions and follow-ups, which enables an interviewer to better gauge the accuracy and relevance of responses. It is a flexible arrangement in the sense that subsequent questions can be tailored to clarify earlier answers. Further, it eliminates possible distortion due to other parties being present.
Face to face interviewing helps both parties to interact and form a connection, and understand the other. Further, face to face interview sessions can be more enjoyable.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Interview airport operation officer

    Msaada wa past paper au namna ya maswali yanayoweza kutoka kwenye interview ya airport operation officer
  3. JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikusababishia ufeli interview ya kazi?

    Tunajifunza kutokana na makosa. Tunaomba uzoefu wako katika hili. Asante.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi utumishi wanatumia utaratibu gani kwenye oral interview

    Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview? Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya kwa usahili wa kuandika walikuwa kama 128 hivi baada ya mchujo wa kuandika wakabaki wasahili wa...
  6. JamiiForums Tanzania TELL ME ABOUT YOURSELF IN TEACHING INTERVIEW

    TELL ME ABOUT YOURSELF - Introduction Formula Haya, kama kawaida yangu, sitaki ujiingize kwenye njia ya kujikokota na kujitambusha. Badala yake, nitakupa njia itakayokusaidia kutoa majibu sahihi kwa swali hili na kuwa na uhakika na kile unachosema. Kama unataka kujitambulisha katika usaili...
  7. JamiiForums Tanzania Kazini kwangu mwalimu wa sayansi alietegemewa kapigwa chini sababu alienda interview bila ruhusa

    Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,. Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss. Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana...
  8. JamiiForums Tanzania Familia imenijia juu kisa sijaomba ajira za ualimu serikalini ambazo kuna interview kuanzia Leo

    nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua. Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon. Kwa nini...
  9. JamiiForums Tanzania Wazo : utumishi walimu tulikuwa tunaomba mtuwekee Mic kwenye oral interview kama itawezekana

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima...
  10. JamiiForums Tanzania Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

    Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree. ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa. Mrejesho: Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Your Complete Guide to Excelling in the Utimishi Teaching Interview Exam(Oral Interview and Aptitude Test)

    Habari Wana JF! Je, wewe ni mmoja wa walimu unaejiandaa kwa usaili wa mchujo (Written Aptitude Test) au Oral Interview sekretarate Ya AJIRA na umekuwa ukijiuliza uanzie wapi au material gani ya kusoma na kufanyia mazoezi? Hapa ndiyo ulipo! Hapa tunakuletea vifaa bora na maswali ya mazoezi...
  12. JamiiForums Tanzania Nilikuwa na ham ya kusikiliza interview ya Aisha Masaka

    Iko crown namna anaongea nimeishia kati Ila ndio mchezaji wa kike nae mkubali sana na namtakia Kila la kheri kwenye mpira
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna uwezekano wa kufanyia interview katika kituo kilichopo katika mkoa niliopo sasa?

    Habari ndugu zangu? Natumaini mko salama na wazima wa afya. Samahani naomba kuuliza jambo ninechaguliwa katika online written interview za utumishi lakini kituo nilichopangiwa ni mkoa mwingine mbali kabisa na mkoa niliopo sasa ivi. Nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa kufanyia interview...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tips za Written Interview ya Utumishi kwa Mwalimu wa Kemia na Biolojia Ngazi ya Degree

    Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
  15. JamiiForums Tanzania SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU NA TIPS ZA KUFANYA

    Mliowahi kufanya saili uko private sectors tunawaomba MJE mtupe miongozo wakubwa wangu
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Hii interview ya Lissu ndio kaburi la Mbowe, Lussu amekokomoka yote

    https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
  17. JamiiForums Tanzania Wenje, utetezi wako kwenye interview na Prince Aloys Nyanda unatufanya wadadisi tuunganishe dots

    Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara kutambulishana unagundua ni Abdul mtoto wa Raisi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Hee na namba...
  18. JamiiForums Tanzania Je unajiandaa na interview!? Fahamu vitu vya kuzingatia

    Leo tujifunze kuhusu interview au usaili Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto hasa ukiwa huna uzoefu na namna ipi ya kukabiliana na interview. Interview inaweza kukupanikisha kiasi cha kukosa amani kabisa na kukufanya ujihisi...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

    Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine? Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
  20. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Hello wana JF, chuo hivi punde, na nina pesa taslimu 300,000 je, nifanyie nini? Kuku naweza fuga,ila interview kila mara mkoani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…