Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G ama decoder ya TV tunaagizia kutoka nje, je ushawahi kuifungua hapo ndani uangalie vile ni very...