injili

  1. T

    Muimbaji Maarufu wa Nyimbo za Injili Miriam Chirwa Aolewa Rasmi

    Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa. Na hapa ni alivyo fika kwenye send off nyumbani Kwa akina Miriam. Ndoa ni furaha ndugu zangu si mnajionea wenyewe Kwa Wana ndoa hapa.
  2. Injili ya Barinaba chapter 39 Aya ya 2

    Yesu akajibu: "Ni kwamba mtu ambaye hataiamini kweli kwa wokovu wake anapaswa kuamini uwongo kwa laana yake. Kwa hiyo nawaambia, kwamba ulimwengu umewahi kuwadharau manabii wa kweli na kuwapenda waongo, kama inavyoonekana katika siku za Mikaya na Yeremiakwa maana kila mtu kama wake hupenda mfano...
  3. Nani amewahi kuziona Torati na Injili halisi?

    Neno Injili ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo shina lake linatokana na neno "euangelion" lenye asili ya kigiriki lenye kumaanisha "habari njema" ambalo liliingizwa kwenye lugha ya Kiarabu toka kwa wakristo wa Syria. Na Torati ni neno linalotokana na neno la Kiyahudi "Torah" ambalo...
  4. Uongo wa Injili ya Yohana

    Kwa hakika! Hebu tuchambue "Uongo wa Injili ya Yohana" kwa mtazamo wa kikanuni na kihistoria, bila kupendelea au kupinga kwa upande wowote. Muktadha wa kihistoria na uandishi Injili ya Yohana inatofautiana sana na injili za Matiu, Marko, na Luka (zinazoitwa Synoptic Gospels). Inahusu maneno...
  5. Uongo wa Injili ya Marko

    Hapa kuna mifano muhimu inayoonyesha kuwa Injili ya Marko ina makosa, migongano, na uhariri wa kibinadamu, hivyo si historia safi wala ufunuo wa Mungu: 1. Marko si shahidi wa macho Marko hajitambulishi kama shahidi wa macho, wala Yesu hamtaji kama mfuasi. 👉 Injili ya kwanza kabisa haijatoka...
  6. Uongo wa Injili ya Luka

    Uongo wa Injili ya Luka Hapa kuna mifano muhimu inayoonyesha kwamba Injili ya Luka si historia sahihi, bali ina makosa, upotoshaji, na hadithi zilizorekebishwa: 1. Luka hakuwahi kuwa shahidi wa macho (Luka 1:1–4) Luka 1:1–2 👉 Tatizo: Luka anakiri wazi hakuwa shahidi wa macho Anategemea...
  7. Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

    Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157 Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu. Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili. Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?. 100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu. Kaunganisha unganisha...
  8. Wimbo mwingine wa ukombozi kutoka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Rose Muhando linaitwa Achia.

    Rose Muhando alikuwa mbele ya muda. Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu. Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
  9. Makisio ya ibada ya Jumapili – Injili na Imani Katika Umoja

    Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la...
  10. Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶

    Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa. NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA...
  11. M

    Injili igeuzayo Roho ni nani ? Je, ni kweli ametekwa?

    Napita huko mitandaoni ya kijamii nakutana na post kibao juu ya huyu jamaa. Je huyu ni nani na kwa nini ametekwa? Je, ni mwanasiasa?
  12. Wanaosema Vitabu vya Injili vina makosa/vinapingana — kwanini wanatumia muda mwingi kuvisoma?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona watu wanaosema kwamba vitabu vya Injili vina makosa, vimejaa contradiction, na haviaminiki — lakini hao hao ndio wanatumia muda wao mwingi kuvisoma, kuvichambua, na kunukuu mistari ya Injili. Kama mtu haamini kitabu fulani, kwa nini anakisoma kwa bidii kila...
  13. D

    Tumeihubiri injilii imeitika, Tunawashukuru wenyeji wetu kanisa la KKAM kwa kutusitiri wakati huu wa mpito: Sisi ni jeshi mbinguni duniani

    Hakika Tunawashukuru sana ndugu zetu katika kristo! Kanisa la KKAM kwa ukarimu wao kufurahi pamoja nasi katika kuitangaza injili leo. Waswahili husema jirani yako ndiye nduguyo, Nyumba ya mwenzio ikiwaka moto basi msitiri kwa muda! Tunawashukuru sana KKAM leo kwa kuwa pamoja nasi! Sisi...
  14. Naweza kupata wapi vitabu original vya Torati, Zaburi na Injili ambavyo havijapotoshwa/kuchakachuliwa?

    Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
  15. D

    Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  16. Nimesikitishwa sana na kifo cha Mhubiri wa Marekani Jimmy Swaggart

    Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na Juu ya wokovu uliabadilika kabisa. Moto wa kuhubiri injili uliwaka ndani yangu. Niliamua kuanza...
  17. R

    Injili ya uamsho imeshaanza kuhubiriwa kutokea Tanzania kwenda Dunia nzima!

    Salaam, Shalom! Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote. Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa Dunia nzima, Sasa wakati wa mwisho umewadia, na kabla ya unyakuo, ni lazima kanisa la Mungu...
  18. J

    Kwa wapenzi wa Nyimbo za Injili Chimbo letu ni hili

    Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda nyimbo za Injili—za kuabudu, kusifu, na kuimarisha imani—basi tumekuwekea kitu cha kipekee. Karibu...
  19. Jumapili Hii: Umewahi Kujiuliza Ubongo Unaotumia Kupokea Injili Unafanyaje Kazi? Je Mawazo na Maadili Yako ni Yako Kweli au ni ya Mchungaji?

    Nimewaza mpaka nimewazua ; kama Ulikosa tafakuri hii Usiku wa Jumamosi (Jana) basi jumuika nami Leo hii tuzichangamshe bongo zetu tulizotunukiwa na Muumba 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/safari-ya-akili-huru-tafakuri-ya-maisha-fikra-na-uhuru-wa-ndani.2348747/
  20. Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…