ingekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania 🇹🇿 tunafanya kazi nyumbani za ofisini kwako ingekuwaje?

    He'll Africa Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje? Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini...
  2. JamiiForums Tanzania Tofauti zetu zingekuwa hivi tu ingekuwa haina shida

  3. JamiiForums Tanzania Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

    Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
  4. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kama dhana ya Time travel ingekuwa kweli, na ukapata nafasi ya kurudi nyuma ya muda ungemuonya au kumshauri nini (wewe-mdogo) kwa kile unachokiishi?

    Dhana ya Muda ni pana sana. Dhana hii inazidi kuchanganya zaidi wanasayansi na watafiti mbalimbali ili kujua muda unafanya vipi kazi. Je kuna uwezekano wa kusafiri mbele ya muda uliopo au nyuma ya muda uliopo? Mambo bado ni magumu. Lakini kama dhana hii ingefanikiwa na binadamu wakawa na uwezo...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

    Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama michoro ya watoto ingekuwa kweli😄😄😂

    Imagination za watoto zinatisha na kuchekesha sana walah🤣🤣
  8. JamiiForums Tanzania Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF) ni hiyari ya mtu je, ungechangia?

    Ingekuwa kuchangia kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii (nssf/psssf) ni hiyari ya mtu, je unge-changia...!? 1. Kwanini ungechangia...!? 2. Kwanini usinge-changia..!? 3. Hujui nini ungefanya..!?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ingekuwa ni kwa wana Yanga asingekaa

    Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Afrika ingekuwa iwapo kila kabila lingekuwa na nchi yake

  11. JamiiForums Tanzania Kama tukio hili lingekuwa Jijini Dar Es Salaam hawa askari wangekuwa na kazi?

    Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi. (Kwa wasio na bundle)👇🏾 Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B. Kutokana na wingi...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo ingekuwa Norway tungekufa tunajiona

    kuna nchi japo na ufinyu wao wa rasilimali kama ardhi ila wanatumia walicho nacho kwa akili zao wote. Nchi ya norway kuna season inakumbwa na giza saa 24 yani hujui usiku wala mchana na muda mwingine jua linawaka usiku sio mchana. Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  15. JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungelipia?

    Hiki kisa hakikunitokea mimi ila mtu wangu wa karibu though sio sana. Kv aliopoa chura fulani mweupe mwenye wowowo, nadhani ni mwanafunzi wa Mlimani na kwenda naye guest house. Baada ya kujiridhisha kuvutiana appetite, Kv akamuomba mwanamke cd then wakaanza mechi. Kv akiendelea na ukunaji...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya video ya "Nikupe nini" ni muda sasa wa kutoa video ya "Ingekuwa vipi"

    Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi, Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu. Pia itawajengea kufahamika na kizazi...
  17. JamiiForums Tanzania Hao ni vipers vipi ingekuwa RS berkane au Al masry ya misri?

    Najiuliza tu mechi ya Leo vipi ngekuwa ni caf champion league,.yanga walishapigwa tayari ,
  18. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

    Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii. Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
  20. JamiiForums Tanzania Je ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?

    Usikubali kutoa jibu pekeako😅😅😅 mi nasema nisingewapelekea bana si nimeshakula mboko zao!! Hii hela kesho yake naenda kuila na Joanah kimya kimya mtaa pili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…