inauzwa

  1. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya Ghorofani Inauzwa Upanga

    Nyumba ina muonekano wa kuvutia, Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote. Bei TZS -210milioni. Hii ni nyumba...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj inauzwa

    Bajaj MC 459 CDG Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu. Haijawahi funguliwa engine hata kidogo. Ina Bima inaisha mwezi wa 5 2021 Matengenezo: Matairi 2 ni vipara kubadilisha Bei Milion 5,000,000 negotiable...
  3. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Printer copier HP Laserjet 1132' na Epson l 805 inauzwa

    PRINTER COPIER 'HP LASERJET 1132' INAUZWA DODOMA NA EPSON L 805 HP - 320,000/- EPSON - 450,000/- DODOMA MJINI - 0716 87 04 17
  4. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubishi canter-truck inauzwa

    Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Nyeupe Accessories AC Power Window Power Steering Mahali ilipo MWANZA Bei Tshs. 27,000,000. Mawasiliano 0752 484 225
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA HP Multifunction Printer inauzwa

    USED HP Deskjet 4515 -Print, scan na copy -Inaprint black na rangi -Inaprint two sided -Ina wireless print access - 6.73 cm touch screen -Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote -Bei laki mbili na elfu hamsini (250,000/=) -Mawasiliano: 0658322565
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Apple imac all in one nch 24 wide inauzwa 380000

    Habari waheshimiwa Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi) sifa zake Hdd 500gb ram 2gb (inaongezwa) nch 24 wide processor 2.8ghz core 2 duo graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256 MB zinasoma DvD NA CD za aina zote Napatikana KARIAKOO mt uhuru na MACHINGA COMPLEX floor 4...
  7. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell laptop inauzwa

    Dell latitude 2110 mini laptop Hard disk: 160GB Ram: 2GB core2duo Good Condition betri inakaa 3hrs Price 180000 tsh Location machinga complex Karume contac 0757870230
  8. N

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

    Habari zenu wadau, nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana Mbagala Dar es Salaam iko poa kwa kila kipengele
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

    HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA... BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA... NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA KWANZA WAKATI ZINAINGIA TU... Documents za msingi na Original zipo kabisa unapewa pikipiki yako...
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST namba DDE, 2005 Model inauzwa

    Habari wakuu! Nauza gari yangu mwenyewe, Make: TOYOTA, Model: IST, Year: 2005, Transition: Automatic, Engine CC: 1290, Engine type: VVT-i, Milleage: 81,900KM. Sport Rims, New Tires zimefungwa December 2020. Radio, Bluetooth Bei 7,500,000 TZS Bima kubwa hadi October 2021. Gari imetunzwa vizuri...
  11. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Chainsaw inauzwa

    Ni mashine ya kuangushia miti au kupasua mbao kwa wale wazoefu wa kuitumia Mashine iko katika hali nzuri Tangu inunuliwe imetumia chain mbili tu, Imebadilisha piston mara moja Sababu ya kuiuza imekosa msimamizi Chain saw inafaida Sana ukiwa katika mazingira ya miti mingi na ukiwa fundi...
  12. JamiiForums Tanzania Ps4 Fat GB 500

    Iko Poa haina Shida Yoyote Inakuja na Padi Zake 2 Ina CD mbili Pia (FIFA20 na MK XL) Kama uko Serious nicheck 0712094731
  13. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji ya hisense litre 164 inauzwa 520,000/=

    Imetumika miezi 4 tu milango miwili ina friza juu ubaridi mkali na friji kwa chini ina nafasi kubwa na pia 0712046405 lipo Dar es salaam kigamboni pia kuna masofa yanauzwa NAHAMA KIKAZI.
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Incubator Mashine ya mayai 5280 inauzwa

    Uwezo: 5280 kwa wakati mmoja. Muda wa matumizi: mwaka mmoja. Condition: mint Bei: 3.7m Location: Dar es Salaam. Sababu za kuuza: Mimiliki amehamishwa kikazi Mawasiliano: 0755815174
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA pikipiki TVS namba C inauzwa: Mbagala Dar es Salaam

    TVS cc 125 Full docs of ownership Haina tatizo lolote la kiufundi, engine haijawahi funguliwa. Bei: 1.5 milion Tshs Mbagala Dar Call 0744033555
  17. F

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mkuranga Mjini

    Ipo mkuranga mjini km moja toka barabara kuu ina vyumba vitatu kimoja master bedroom ina umeme maji mawasiliano 0655204110 na 0699492380.
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Apple IMac inauzwa (imetumika mwaka 1)

    Apple IMac 🖥 inakuja na mouse + keyboard Condition: Used (1 year) Screen Display: 24inches Core i5 Processors: 2.9GHZ Storage: 1000GB / 1TB RAM: 8GB Price: 1.5M TZS (negotiable) Location: Mwenge, Dar es Salaam Call/WhatsApp: +255676095799
  19. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota LandCruiser Prado 2017 inauzwa

    LandCruiser Prado- TX TRJ150 Year: 2017 Cc: 2693 Eng: 2TR Fuel: Petrol Transmission: automatic Keyless/ push to start Sunroof Tires: Michelin Insurance comprehensive valid to OCT 2021 Total fuel card worth 100k Location: Dar es Salaam, Mikocheni Price: 110M
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Universal 4G MiFi router inauzwa

    Jipatie Huawei MiFi router original ya 4G inayotumia line za mitandao yote Tanzania kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 120,000/= Tuwasiliane kwa number 0753 12 14 04 au 0658 02 03 61 kwa maongezi zaidi. Picha zake hizi hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…