inauzwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Land Rover Discovery inauzwa

    Year of manufacturer 2001,km 147,000 Speed Limit 220 Manual transmission, Fuel :petrol No history of Road accident, no mechanical fault/damage to Engine,Price 16M, Owner Contact :0789737699, location Mwanza.
  2. JamiiForums Tanzania Simu ya Pixel 2 xl 128 Gb inauzwa kwa 350k mpya kabisa..

    Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi... Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k). Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam... 0754273820...
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj ya Abiria Inauzwa, Jijini Mwanza

    Bajaj Hii inauzwa. Bajaj inafanya kazi vizuri haina Shida yoyote. Haina tatizo lolote la kiufundi Haidaiwi. Engine nzima kabisa. Karibu Kijereshi, Ukague mzigo Bei: 5million mawasiliano: 0713096076
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST no DLW inauzwa kwa 8mil. Dar es salaam

    iwahi, bei haina udalali. cc 1290. imenyooka call 0713096076 nikuunganishe kwa boss mkaongee zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Vits inauzwa kwa Milioni 4

    Gari halina shida yoyote Ni rangi tuuu inaweza ikarudiwa ili gari iwe Bora zaidi Bei 4million Kwa mawasiliano nivheck whatsaup kupitia 0692235221
  6. N

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Assalaam Wanabodi, Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote. Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Water Tank Stand inauzwa

    Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 1.3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia namba 0687320462.
  8. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Offer: HP Laptop for Sale 199,000 Tzs

    Grab this unbeatable offer: 199,000/= HP Laptop for sale Specs Model HP 6550b Ram 4GB Intel i5 Battery (charge) depletion time 45"- 1hr ❌Webcam isn't working ( but you can use external webcam) Price: 199,000/- (OFFER) UPDATE: SOLD Out! ☑️
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa mbili inauzwa Stonetown, Zanzibar

    Nyumba ni ya familia tunauza. Nyumba inafaa sana kwa hotel,guest or Airbnb(watalii wengi sana) Ipo katikati ya mji mkongwe(stonetown),karibu na maeneo yote ya utalii kama forodhani,beach nk Nyumba ina nyaraka zote na mtanzania yoyote anaweza akanunua(ukiwa sio mtanzania hutoweza labda mtu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa bei milioni 26 Tshs

    Nyumba ipo Kashai, Kashenye, Bukoba, ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule, ina umeme na maji, pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba zaidi ya mbili, bei ni milioni 26, bei inazungumzika. Kwa mawasiliano 0752759293
  11. G

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop hpfolio 9480 inauzwa

    Ram: 8gb Hdd: 500gb Processor : Coi5 Battery mbovu (haina tatizo jingine) Bei: Tsh. 550, 000/= Phone : 0764232348 Location : Dar es Salaam Exchange allowed with any dell laptop
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza ya chakula viti sita inauzwa

    Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo. Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco Mawasiliano 0622723082.
  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  14. JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastic ngum inauzwa

    Habari za muda wana jamii. Mifuko mbalimbali yakufungashia bidhaa mbalimbali inapatikana, pia mifuko inayotumika kwenye vituo vya afya (Disposing bags) pia inapatikana. Kama utahitaji nijulishe nitakutafuta
  15. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni inauzwa shilingi 45,000/=

    Ni Kampuni ya AILYONS, imetumika miezi mitatu tu. Feni ni nzuri na yenye nguvu. Bei ni 45000/= Njoo Kimara Mwisho uchukue. 0687603307
  16. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Station

    Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei yapo. Eneo ni 215 sq m. Mawasiliano 0744992266 au 0789581889
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji ndogo inauzwa 150,000

    SOLD SOLD SOLD Ni kampuni ya GEC Imetumika miaka mitatu Gas ipo Taa ya ndani inawaka. Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi. BEI ni 150,000/= NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA. 0687603307
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa inauzwa

    Sofa set inauzwa ipo kwenye hali nzuri. Ipo Arusha. Bei 350,000 tshs.
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Sonny Hometheate 1000w inauzwa

    Redio inauzwa ni sony hometheater 1000w dz950 Bei laki 7 redio ipo Mbeya Mawasiliano 0652 064 936
  20. JamiiForums Tanzania City Lodge Hotel iko sokoni; je, hii ni dalili gani kwa soko la Utalii?

    Hoteli mpya kabisa mkabala na Mahakama ya Kisutu iko sokoni baada ya biashara kudorora kwa 73%. Pamoja na sababu zingine COVID 19 yawezekana ni moja ya sababu. ======== City Lodge sells 148-room hotel in Tanzania for R1m, Kenyan hotels also sold The City Lodge Hotel Dar es Salaam in Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…