inauzwa

  1. Phone4Sale Inauzwa iphone 14 PRO MAX copy,na AQUOS 701 SH USED

    IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA TATIZO LOLOTE ,ANDROID 10,STORAGE 32 GB,RAM 3GB SERIOUS BUYERS CONTACT ME: 0768115667
  2. Drama haziishi. Tujuzane huko ulipo sukari inauzwa bei gani?

    Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini. Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
  3. S

    INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  4. CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

    Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
  5. M

    Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
  6. Phone4Sale Google Pixel 6A inauzwa kwa bei nzuri

    Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition. Ram 6 GB Internal storage 128 GB Single sim card Size 6.1 inches Network 5G Bei 500,000/= Protector cover bure Nipo Tabata Segerea
  7. L

    Car4Sale IST inauzwa bei nafuu

    TOYOTA IST INAUZWA BEI NZURI LOC: MBEZI BEACH. YEAR OF MANUFACTURER:~2002 PRICE:8750000 ml ENGINE CAPACITY: 1490 CC ENGINE : 2NZ MAWASILIANO ----0784379396 ---- 0673805806 NOTE: GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE YA KIUFUNDI, KARIBU NA FUNDI WAKO UJE UKAGUE UJIRIZISHE TUFANYE BIASHARA.
  8. J

    House4Sale Nyumba inauzwa Mwanza-Igoma,Kishiri

    Nyumba inauzwa milioni 45 ina vyumba vitatu kimoja master, choo cha public, jiko, store, dinning na sitting rooms, Angalia video kuiona vizuri Piga: 0683406665
  9. D

    INAUZWA Cherehani inauzwa

    Inashona, inadarizi, inapiga zigzag n.k Mashine imekamilika na pedal zake Bei : 200000 Location : Moshi , Kilimanjaro Mawasiliano : +255621396850 Karibuni
  10. INAUZWA Pikipiki aina ya boxer BM150 inauzwa

    Boxer bm150 Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji bei Tsh 680,000 0658643636 Mbezi Magufuli stand
  11. Dispensary inauzwa sekei Arusha

    Karibuni wote dispensary inauzwa . Sekei Arusha umbali ni mt 100 sio ile barabara ya lami almashauri ni ile ingine ya ambayo ni rafu road . Bei ml 250 ,ni heka moja kamilifu napia ina hati zote . Wasiliana na mimi 0699-227942
  12. SOLD: Bed sofa ya chuma inauzwa, ipo Moshi Mjini

    Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo... Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771.... Asanteee.... Wako katika biashara mtandao...
  13. X

    Boda boda namba D inauzwa. TVS

    imeuzwa!!
  14. N

    House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo -vyumba 2 vya kulala kimoja máster -Sebule -jiko -publick toilet NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji matitu Kwa maelezo zaidi 0714337378/0715053339
  15. W

    House4Sale Kilasilo Guest House inauzwa

    KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC: MADALE MWISHO Bei 135M (Maongezi Yapo) Mawasiliano 0748 270 719
  16. Car4Sale Toyota Hiace inauzwa 10M tu

    Nauza Toyota Hiace inapiga Daladala Mwanza, bei milioni 10 tu, maongezi yapo. Mawasiliano 0753311398
  17. W

    House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Kigamboni

    nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni ina vyumba 3 Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet main room[master room 1]na choo chake Dining room jiko sebule pia banda lake la nje lina chumba 1 na public toilet sebule n jiko ina ukubwa eneo qm 900 ina maji safi kbsa ni Km 1.9 kutoka...
  18. V

    Phantom9 inauzwa

    EI 130k,location kibaha
  19. Sukari inauzwa hadi 5000 na Serikali iko kimya hadi sasa, bei elekezi ni ipi?

    Hivi hii Serikali inafuatilia kweli maisha ya Wananchi wake huko mitaani? Watu wanauziwa Sukari Tsh. 5000 kwa kilo na Wafanyabishara hata hawana hofu yoyote. Ni kwamba hakuna anayejali hali za Wananchi tayari linatengenezwa tatizo la kisiasa ili waje walitumie kwenye kampeni zao?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…