inauzwa

  1. JamiiForums Tanzania Kuna gari aina ya Tesla inauzwa, imeingia Bongo jana

    Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
  2. JamiiForums Tanzania ( PICHA ) Friji aina ya BOSS mpyaaa inauzwa

    Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani. Haina hata mkwaruzo. Haina kipengere chochote. Ni milango miwili, Inapooza na kugandisha Bei 300,000 Contact : 0785214599 ( Dar es salaam - Kigogo round about )
  3. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Sinza A karibu na apartment za Delina .

    ENEO LINAFAA KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA KITAMBAA CHEUPE ENEO NI SQM 356 ENEO LINA HATI PAZURI SANA KI BIASHARA CALL 0658124288 , Kwa ajili ya kwenda kupaona na maongezi BEI : Mil 190 na maongezi yapo kidogo .
  4. JamiiForums Tanzania Inauzwa bei gani?

    Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Subwoofer mpya inauzwa

    Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni Subwoofer hii ni size ya kati siku kubwa sana wala sio vile vidogo hapana, ina mziki mkubwa tu na inatosha kwa matumizi ya nyumbani...
  6. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa - Ukonga, Dar es Salaam**

    ** Nyumba inauzwa katika eneo la Ukonga, Dar es Salaam. Ukubwa wa Kiwanja: 885 mita za mraba Hati: Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki Vyumba: Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, na sebule pamoja na mahali pa kula Ufikiaji: Nyumba inafikika kirahisi Bei: 130mil Maelewano yapo Kwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
  8. JamiiForums Tanzania Computer inauzwa bei 230k ram 8, ssd 128

    Bei ni 230k nipo dar Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita) Ram 8GB, Ssd 128, Battery 3hrs Bei maelewano
  9. JamiiForums Tanzania Car4Sale Mazda Atenza inauzwa

    Mazda Atenza Turbo Year 2013 Fuel Diesel CC 2200 Price milion 25 plus registeration.
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    Wakuu habari, Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana. Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho cc 1490 Bei ni m6 inapungua kidogo No 0715568585 Usajili no DHD 2WD gari ni automatic
  11. JamiiForums Tanzania Wadau tuambiane hapa simu gani nzuri inauzwa kwa bei ndogo

    Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
  12. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina ya Samsung inauzwa

    Laptop Inauzwa Ni SAMSUNG LAPTOP RAM 4 GB Processor 2.4GHz HDD 360GB Betri yake nzuri sana inakaa na chaji masaa 4 Bei ni 260,000 Location ni Dar es salaam, Mbezi mwisho. Mawasiliano 0752026992
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dell vostro 15 5510 inauzwa 11th Gen Intel(R) Core(TM) i5-11320H @ 3.20GHz 2.50 GHz Installed RAM 8,00 GB

    Device name Dell Processor 11th Gen Intel(R) Core(TM) i5-11320H @ 3.20GHz 2.50 GHz Installed RAM 8,00 GB (7,74 GB usable) Device ID 3AB66106-97E6-4B71-83A9-AF26F47DD0D5 Product ID 00329-10380-00000-AA645 System type 64-bit operating system, x64-based processor Pen and touch...
  14. A

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Smart TV inch 32 inauzwa

    Habari zenu Wakuu, Nauza SmartTv ya TCL inch 32 kwa 270,000 tu! ISHAUZWA TAYARI!
  15. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard namba E inauzwa bei ya kutupa kabisa

    Bei/Price TSH 21.8M Call 0747 999 927 TOYOTA ALPHARD(ECP) Year: 2007 Engine: 2360Cc Mileage: 84,000+ Transmission: AUTO Automatic Doors In Good Condition Exchange Possible
  16. D

    JamiiForums Tanzania Bench grinder inauzwa

    Habari wakuu. Kwa wale wahitaji WA mashine za kunolea na kukatia vyuma. Nauza benchi grinder hii kwa bei ya Shilingi 120,000/- Ipo Dar Es Salaam ila popote inaweza kukufikia. Karibuni
  17. D

    JamiiForums Tanzania Microwave inauzwa

    Habari wakuu. Microwave inauzwa. Bei 120,000/- Inapatikana Dar Es Salaam Karibuni
  18. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2008 Honda Fit (EJW) Inauzwa TZS. 13m

    YOM: 2008 Engine Capacity: 1300cc Automatic Petrol 107,000 Kms From Japan (Imesajiliwa tarehe 18/11/2024) . Price: TZS. 13m . Call: 0717 650800
  19. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

    Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis Njia ya kwenda Goba Eneo lina SQM 400 (20×20) Nyumba ina umeme na maji Nyumba ina vyumba vinne. Finishing haijakamilika vizuri. Dakika 10 tuu mpaka barabarani Inahitajika milioni 36 tu...🔥 ☎️ +255 783755971 Karibuni sana
  20. A

    JamiiForums Tanzania SmartTv TCL Inch 32 inauzwa bei rahisi

    ISHAUZWA TAYARI!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…