inauzwa

  1. H

    JamiiForums Tanzania HP ZBOOK inauzwa

    wakuu nauza laptop yangu ,kwa wale pro wenzangu mnaelewa HP Zbook 2,000,000/ ,nipo mwanza
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Apartment Inauzwa Kariakoo

    Apartment Mpya Inauzwa - Kariakoo, DSM ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master bedroom ina furniture ipo ghorofa ya nane jengo ni jipya lift ipo Bei TZS 280m Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345 @prathlimited
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ist kali inauzwa waweza kuicheki

    IST Kali inauzwa namba E Price 14.4M Location DSM Call 0658124288 TOYOTA IST(EAT) Year 2004 Engine Code 2NZ ENGINE capacity 1290cc Milleage. 59080km From Japan Bei 14.4 Million Location DSM
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hisense SmartTv inauzwa

    Nauza SmartTv kampuni ya Hisense inch 40 kwa 500,000 tu. Box na Risiti vyote vipo. Tv haijawahi kwenda kwa fundi na wala haina shida yoyote. Mawasiliano 0626753305 Napatikana Dar es Salaam.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Habar zenu wadau kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa inayotumia mafuta na umeme ipo sokoni inauzwa

    Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sabufa aina ya Rising inauzwa

    wakuu na mali nyingine inauzwa Sabufa mpya kabisa japo imetumika, aina ya Rising mdundo wa maana Hometheatre Haoni ndani, Bluetooth, FM Radio, SD/MMC Card, Flash Disc kama kawaida. Bei sawa na Bure 120,000 tu. Nicheki 0784 884 950. Location Vikindu Mkuranga Pwani.
  7. Matata25

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP elitebook 840 g6 inauzwa Mwanza

    H
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa banana mil 20 elewa neno banana yaani mwendokasi inajengwa

    Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini Ina vyumba 3 vya kulala 1 master bedroom 2 Normal rooms Seble Dinning Choo cha wagen Kutoka lami hadi kwenye nyumba unatembea kwa mguu tu dakika 10 gari ni moja hadi mjini...
  10. Jerry magere

    JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA Landcruiser V8 inauzwa matajiri, karibuni sana

    LANDCRUISER V8 DJH YEAR 2011 UPGRADE TO 2016 ENGINE SIZE 4.5L ENGINE CODE 1VD-FTV DIESEL ENGINE✅ AUTOMATIC TRANSMISSION LEATHER SEATS✅ OPEN ROOF✅ NEW TYRES✅ PRICE 138M
  11. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Noah inauzwa Tsh. Milioni 9. Ipo Mbeya mjini

    Noah inauzwa 9m. Ipo Mbeya mjini. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050.. Nyote mnakaribishwa!
  12. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mbeya mjini..

    Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 45m. Wasiliana nasi+ +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa
  13. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Uzunguni Mbeya

    Kiwanja kina ukubwa wa sq 1500. Ni eneo zuri kwa uwekezaji, appartment,kuishi,ofisi nk. Bei. Tshs. 600m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  14. christophany

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  15. stabilityman

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inauzwa mil 20 chanika inavyumba 3 vya kulala

    NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22) CONTACT: 0743 257 669 Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp UKUBWA WA ENEO SQM 400 BEI TSHG MIL 22,000,000/= NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kitunda Mnadani karibu na sheri, bei ni TSh. Milioni 35

    Inavyumba 6 Eneo la parking lipo kubwa limebaki mbele Nyuma kuna uwanja wa kujenga hata vyumba 3 vya kulala Nyumba inawapangaji nyumba iko kwenye barabara ya mtaa gari inafika Haina mgogoro eneo limepimwa hati haijatoka bado karibu 0743 257 669 nipigie
  17. BATULUNGE

    JamiiForums Tanzania Mazda bongo inauzwa

    Gari bado nzima Sana ipo dsm Goba Ina engine f8 Cc 2790 Bei ni Mil 12 maongezi yapo 0656077998
  18. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
  19. Kitomai

    JamiiForums Tanzania INAUZWA HARAKA UPANGA!

    *🏢 Apartment moja ya vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 * 🔑 Vipengele Vikuu: IPO KATIKA UBORA: ipo katika jengo lenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: inauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225...
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa chanika mil 22

    Nyumba inauzwa chanika mwisho senta milion 22, (imeshuka bei njoo hata na nusu anapokea maana ana shida) ina viumba v2 kimoja masta sebule jiko na pablic toile. Full tiles and gypsum umeme tayari. Bei inapungua njoo site Kutoka chanikamwisho hadi kwenye nyumba dk5 kwa mguu Call 0743257669
Back
Top Bottom