inauzwa

  1. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya ghorofa kisasa goba half lanod inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  2. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa nzuri ya ghorofa underground half landon inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani makabe. Bei milioni 110, maongezi yapo

    Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali. Bei: Tsh.110, mazungumzo...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Bahari Beach

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa milioni mia moja sabini [170m]

    Habari wadau ,nyumba inauzwa iko na fensi 170milion Iko mtaa wa kibela,ununio Wilaya ya kinondoni Dar es salaam Contact 0653 652755 Ninavideo nashindwa ku upload n ndefu anayetaka anichek mtaa mzuri barabara imenyoka iko na fensi na geti
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa Kariakoo Dar es Salaam bei ni TSh Bilioni 2.5

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  10. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa na benki, tshs.22 milion, Ulongoni B, Gongolamboto

    ....
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kifahari inauzwa mbondole wilaya ya ilala dsm bei ya kutupa

    🏠NYUMBA INAUZWA MILIONI 33 📍ipo MBONDOLE DAR-ES-SALAAM🇹🇿 Ni njia ya Chanika ukitokea MBAGALA rangi 3 kujia CHAMAZI AZAM COMPLEX Pia unaweta kutokea Njia PANDA YA KIVULE AU KUPITIA MOMBASA YA GONGOLAMBOTO NJIA PANDA YA KIVULE ZOTE NI NJIA KUJIA MBONDOLE ✅ ✍🏻Ina Vyumba vitatu ✍🏻SEBULE ✍🏻JIKO...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Scania P450 inauzwa

    Hii Scania ipo UK inauzwa. Niya mwaka 2019. Ina kilomita 628K, auto gearbox. Catwork tody. Bei yake na kusafirishwa mpaka Dar Es Salaam ni Tshs 112m.
  13. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Ituha Mbeya.

    Nyumba inauzwa Ituha Mbeya/ House for sale at Ituha Mbeya Tshs. 40m. Mazungumzo yapo. Ina vyumba 4 vya kulala, self contained. Wasiliana nasi:+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  14. stabilityman

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA MILIONI 19 CHANIKA ZINGIZIWA NAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER

    NYUMBA INAUZWA MILIONI 19 CHANIKA ZINGIZIWA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM ENEO: SQM 300 LESSEN YA S|MTAA PHONE 0743 257 669 WHATSAPP """""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""" INAVYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SITING ROOM INAJIKO PUBLIC TOILET Ipo jilan na UMEME MAJI SHULE HOSPTAL
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Bahari beach

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka; Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  16. Sonship

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni Ina vyumba 3 kimoja master Ipo ndani ya fensi Sebule,dining &, jiko Nyaraka ni Mikataba ya mauzino ya serikali za mitaa Bei mln 50 0775 179905
  17. V

    JamiiForums Tanzania Simu inauzwa

    Nauza simu Motorola moto e14 toleo jipya .Brand new unlocked .bei 360000.Njoo na change kamili au piga simu 0712652110 Dar
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba 8 inauzwa mil 29 chanika

    Nyumba inauzwa chanika mwisho kwa milion 29 tu ipo mbele ya barabara ya mtaa na mita 300 toka lami, Nyumba ina viumba 8, vyote vina wapangaji matundu ya choo yapo ma 4. 0743257669 Hati ni ya mauziano ya serikali za mtaa
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba

    Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule jiko sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 67 nicheki whatsap 0743 257 669
  20. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya inauzwa, bahari beach Dar es salaam

    Gorofa la kumalizia linauzwa ni nzur sana”” Lina vyumba vitano master Ukumbwa wa kiwanja ni square mitter 1200” Price million 500” maongez yapooo Kuna hat miliki Locationbahar beach 🇹🇿call/whatsapp +255758844717
Back
Top Bottom