inashangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

    "Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza. "Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli ni maajabu sana. Inashangaza siyo kidogo

    Yaani kuna watu humu wanaandika mambo mpaka unajiuliza huyu naye ana demu? Aliwezaje mpata demu wake? Alitumia maneno gani kumshauri demu atoe nguo? Maana kichwani ni empty kabisa. Unawazaaaaaa. Unasema Khaaah.... Mademu wana huruma sana. Hata huyu naye anapata wa kugegeda? Hii Dunia hiii...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana kuona mwanaume eti anaogopa kuoa

    Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli? Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa? Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa. Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
  5. Killa Cam

    JamiiForums Tanzania Yaani inashangaza sana!

    Unajua sisi binaadamu shukran zero kabisa kwa anae tufanyia wema. Wengi wetu umaskini unafanya kupunguza imani, sasa unajiona upo kwenye shida tokea mtoto mpaka mtu mzima shida inazidi unaomba mpaka koo inaota fangasi. Hakuna nafuu unamuona Ally Mpemba anakula batwaa na ka Range aahh mamaee🥲...
  6. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Miafrika ndivyo tulivyo. Inashangaza sana akili hii ya Serikali

    Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao? Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inashangaza mkuu wa nchi kutaka wananchi wake wawe wanakula lishe bora wakati hawawezi kumudu bei za vyakula wasizoweza kuzimudu.

    Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani. Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo. Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

    Hivi tunakwenda wapi jamani? Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

    Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae. Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana...
  12. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

    Mhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia ID mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana. Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone JF ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda. Kuna...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

    Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna maisha mengine yanaendelea huko Usingizini? Inashangaza sana

    Kila siku huwa nawaza sana hili suala! Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅 Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani. Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa...
  16. MC44

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

    Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi? Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha? Babati hapo Rombo hali ikoje? Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara. Kibaha je? Kwako Mshana Jr Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko? Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom