inapangishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sonship

    Nyumba inapangishwa Mbezi Maramba

    Nyumba inapangishwa Mbezi maramba Unashuka Kituo cha Makuti Ni Chumba master na sebule na jiko Kutoka lami Mpaka nyumba ilipo unatembea kwa miguu dk 8 Kodi 100,000 x miezi 6 Umeme unajitegemea pekee yako Mtakua Wapangaji 2 tu,Mwenye nyumba hakai hapo 0675 065906 Utanipoza kidogo ya udalali
  2. Dalali wa Mjini

    House4Rent Nyumba inapangishwa Sinza - Kodi TZS 2Million kwa mwezi

    Nyumba ya kupanga Kali sana Ina nyumba viwili vya kulala vyote master Ina sitting room majiko Balcony nyuma na mbele. Full AC Kodi ni miliioni 2 kila mwezi. Nipigie simu Kwa ukaguzi📱0754693556 Note:sitozi services charge mkuu.
  3. S

    Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza

    Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza, vyumba vitatu kimoja kikiwa ni master, maji, umeme, barabara vipo, eneo la bustani lipo nk. Bei 2,600,000/- kwa mwaka Karibu mteja .
  4. Kitomai

    Nyumba nzuri ya GHOROFAni (Apartment) INAPANGISHWA UPANGA

    **🏡 -ina gharama nafuu! Vyumba 2 vya kulala (kubwa na zenye nafasi). Bafu na Choo: *Jiko * Sebule: Sebule ya kupumzika/wageni. (ceiling fans) na *Air Conditioner (viyoyozi) (AC) kwa ajili ya joto. ✨ FAIDA ZAIDI: - Bei nafuu: TSh 1,000,000 tu kwa mwezi malipo ya miezi 6 Kwa pamoja ✉️...
  5. radhiya

    Nyumba Inapangishwa Tabata Segerea

    Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa. Mahali: Tabata Segerea, Dar es salaam. Sifa za Nyumba: •Iko mita chache kutoka barabara ya segerea. •Ina master bedroom, Choo cha ndani, jiko, Sebule na sehemu ya chakula. •Iko ndani ya uzio yenye sehemu kubwa ya kuegesha magari. •Ina bustani ndogo...
  6. J

    Bar Inapangishwa Dar

    Bar maarufu inapangishwa Dar ipo kando ya barabara kubwa (Main Road), jirani sana na Azam Complex, Chamazi. Bar ina majiko makubwa ya kisasa mawili, lodge, parking kubwa, ukumbi wa wazi na huduma zote muhimu. Kwa mawasiliano piga namba 0753300097 Bei ni maelewano.
  7. The last don

    Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  8. dalaliadam

    House4Rent Nyumba zinapangishwa Dar

    INAPANGISHWA_MASTA SEBULE ENEO - MBEZIBEACH GOBA ROAD KODI - TSHS 150,000 NIONE - 0679268006
  9. Kasri Homes Tz

    House4Rent Temeke Chang'ombe: 3 Bdrm Apartment/Ghorofa Inapangishwa - Dar

    • Direction: Maduka Mawili • Condition: Ya kuhamia • Rent: TZS milioni 2/mwezi • Terms: Miezi 6 au mwaka • Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa mkataba kama hakuna uharibifu ndani ya nyumba) • Viewing charge: TZS 20,000 • Malipo ya kamisheni ya...
  10. stymo

    Nyumba ya Vyumba 3 inapangishwa - Nkuhungu, Dodoma (bila dalali)

    Nyumba ya vyumba vitatu. Ina store ya jikoni, ina dining area. Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji. Pia kuna heater za maji ya moto. Hakuna udalali. Kodi 350,000/= (napokea ya miezi minne, tano au sita), kama unalipa ya miezi 8...
  11. B

    House4Rent Nyumba inapangishwa Mbweni JKT

    Nyumba inapangishwa mbweni jkt …laki nane kwa mwez. Kwa atakaehitaji anichek pm
  12. D

    Fremu inapangishwa

    habari. kuna fremu inapangishwa maeneo ya bunju A barabaran awali ulikuwa inatumika kama maabara kwa sasa inapangiswa inahitaji 270 kwa mwezi na kodi ni meiz 6. ina luku yake panoja na choo pia ina jumla ya vyjmba vyumba 3. kazi kwenu wapambanaji inbox me plz
  13. chuma jr

    Ofisi inapangishwa

    Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua hata miezi 4 sio mbaya kila mwezi ni 70k ukifika nakupatia Laini zote za simu kasoro simu labda...
  14. politicians

    Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
  15. F

    House4Rent 2 bedroom house inapangishwa Tabata Kisukulu (Maji Chumvi) karibu na Ubungo External 250,000

    Habari wadau. Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external. 1. Nyumba ipo ndani ya fence na kuna geti. Parking ipo ya gari ndogo 2. Umeme na maji inajitegemea 3. Vyumba...
  16. Jemima Mrembo

    Biashara inapangishwa, lipia na uanze kuingiza maokoto

    I have two houses in a compound with one big house and a guest wing ambayo naifanya hostel na ni fully furnished.....Napangisha. Iko opposite na LANDMARK HOTEL na DELTA APARTMENTS Main house 3/4 bedrooms. Two master and two normal Small house 2 bedrooms, 2 kitchens, Big house 3 bathrooms...
  17. Twilumba

    Inapangishwa: Nyumba (Self-contained) ipo Kitunda Kivule Matembele ya 2

    Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76 Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000 ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master Pia ina; Sitting room (Kubwa) Dining Room Jiko kubwa Stoo kubwa Ina eneo kubwa la wazi Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA Mpangaji ataweza kufanya...
  18. Kakakuona

    Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  19. D

    Napangisha nyumba maendeo mbalimbali Dar

    Vyumba vinapangishwa vyumba vipo viwili master pamoja na sebule bei 250k ni chumba cha kisasa kabisaa vyumba eneo lake lipo mbezi beach tangibovu ni dakika 20 au 15 kwa kutembea kutoka stendi nicheki kupitia 0658820041
  20. keikiu

    Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa

    CHUMBA, SEBULE PAMOJA NA CHOO CHA NDANI KINAPANGISHWA Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa. Kinapatikana Mbezi Mwisho karibu na stendi ya Magufuli, maeneo ya mtaa wa Muhimbili. Hatuna dalali, fika kagua nyumba, lipia. *Kodi ni 120,000 kwa mwezi. Kwa...
Back
Top Bottom