inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari ya toyota inahitajika!

    Mnunuzi anatafuta gari ya Toyota yenye sifa zifuatazo: Uwezo wa Injini: 1500cc au chini. Hali: Gari iwe katika hali nzuri, isiwe na matatizo makubwa. Historia: Haijawahi kuhusika na ajali. Bajeti: Hadi TZS 5,000,000 (Milioni 5). Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali...
  2. JamiiForums Tanzania Freezer Inahitajika

    Nahitaji freezer iliyotumika, isizidi lita 200. Kama unayo nicheck chap.
  3. JamiiForums Tanzania Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Gear box ya Hyundai tucson inahitajika

    Natafuta gia box ya Hyundai tucson automatic mwenye nayo ani pm tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

    Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati. Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know. Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chainsaw Husqvarna 272xp inahitajika

    kama una mashine ya chainsaw kutoka Brazil Husqvarna 272Xp, contact 0764125128
  9. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Coaster ya mkataba inahitajika

    Naitwa bora Simon Joseph natafuta muwekezaji awekeze coaster yenye dhamani ya 50ml anipe mkataba wa miaka 3 yaan miez (36)nalipa 2.4 kila mwezi kwa mawasiliano na maelezo zaid 0764764214 napatikana dar es salaam
  11. JamiiForums Tanzania TV Inch 65 inahitajika offer 800,000

    Smart tv Inch 65 brand yoyote offer yangu ni 800k..
  12. JamiiForums Tanzania Inahitajika TV ya kununua kwa bei ya jioni

    Hello wakuu, Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/= Location: Dar es salaam ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
  13. T

    JamiiForums Tanzania A3 Scanner(Epson) inahitajika

    Kama subject ilivyo,naulizia anaeuza scanner za Epson,A3. Iwe mpya
  14. JamiiForums Tanzania Inahitajika google play console haraka sana offa ya milioni 2 ipo mezani.

    Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).💲💲 Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) 🤑🤑🤑 ☎️👉 0711707070 Sifa za account 1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe 2.Iwe na app...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

    Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Bajaji & bodaboda Authority inahitajika?

    Kwa kuwa latra wameshindwa kusimamia bajaji na bodaboda japo wanawapa leseni, kuna uhumuhimu wa kuwa na chombo cha kudimamia hawa vijana maana wasipo simamiwa na janga la taifa. Bajaji na bodaboda wanafanya kazi nzuri sana hasa maeneo ambayo mabasi na usafiri mwingine haufiki. Pia wanafanya...
  17. JamiiForums Tanzania Concrete mixer inahitajika

    Mwenye nayo ikiwa 500L itapendeza HP ianzie 10. Location Dar.Iwe na hali nzuri Offer from 5mil.
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Sumsung A14 inahitajika full box kwa bei rahisi ( 270k) mfukoni ipo hapa.

    Ndio wakuu napokea call 0621011063. Naweza ongeza kidogo bei.
  20. JamiiForums Tanzania Chumba sebule inahitajika maeneo ya Tabata

    Habarini wadau wa JF! Naomba ushirikiano wenu kwa mtu ambae atakuwa anajua sehemu yenye one bedroom apartment yaani chumba, sebure choo ndani na stoo pia kiwe ndani fensi, eneo liwe karibu na barabara kuu na pia liwe linaingilika ata wakati wa mvua kubwa. Itapendeza zaidi ikiwa maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…