imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

    Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
  2. Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson matatani, kupigiwa kura ya kutokuwa na imani

    Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson. Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho kwa kamati maalum iitwayo 1922 committee ambazo zilipaswa kufikia asilimia 15 yaani sawa na barua 54...
  3. SWALI: Je, Una imani na Ujuzi wa Kitaalamu wa watoa huduma za Afya Tanzania?

    Habari wadau wa JF? Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu wako kwa mtoa huduma wa Afya uliekutana nae mara ya mwisho kabisa. Pia, unaweza kuchangia chochote...
  4. Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

    Wanaukumbi. Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani? Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu. Chama masikini viongozi wa juu matajiri. Tena hapo mtaa wa...
  5. Mambo 10 ya binadamu wasio na imani kumuhusu Mungu

    1. MAFANIKIO Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota. Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake. Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili...
  6. Tunapaswa Kuondoa Pazia la Imani za Kijamii na Kidini Zinazofunika Tatizo la Ndoa za Lazima

    Inasikitisha kuwa katika karne hii ya 21 bado kuna jamii duniani ambazo zinahalalisha na kuwalazimisha wanawake wanaobakwa kuolewa na wabakaji wao, au kuwalazimisha mabinti kuolewa na watu wasiowapenda. Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa watu milioni 40.3 ni watumwa duniani kote...
  7. S

    Sakata la Mdee na wenzake litafanya wananchi wazidii kupOteza imani na hili Bunge

    Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima litadharaulika. Watu lazima watajiuliza wabunge wa kubebwa na serikali(dola) watakuwa na uthubutu gani wa...
  8. B

    Kwa Imani yangu naamini kila mwezi kuna mtu kutoka Kundi la waloitwa WASIOJULIKANA anaaga Dunia

    Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine. Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
  9. Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

    Kuna maada mbalimbali zimeanzisha humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini. Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna dini ama imani tofautitofauti na zingine zinapingana juu ya namna ya njia sahihi ya kumuelekea...
  10. Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
  11. Tutoe hapa "Uongozi Kama imani na utulete kwenye uongozi Kama dira!"

    Sikufundishi kazi ila kinachokutafuna ni kile kilichopandwa huko nyuma!, simlaumu mtu ila nitalaumu kama atashindwa kuwa muelewa!. Nafikiri utakumbuka nyanda za juu walivyokujazia wanafunzi barabarani!,sio kwamba wanafunzi sio watu ni watu ila uliwajengea madarasa ili watulie huko,hivyo muda...
  12. Singida: Taarifa kuhusu Mauaji ya Wazee kwa imani za Kishirikina

    31 Machi, 2022, Dodoma Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mauaji ya wazee watatu (Agnes Msengi miaka 84, Windila Saidi miaka 80 na Winfrida Gigila miaka 80) waliouwawa kwa kuchomwa moto na wanakijiji wenzao kwa kile kinachodaiwa kuwa wamekuwa wakishiriki vitendo vya kishirikina...
  13. Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

    Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao...
  14. Ahadi hewa za viongozi zinafanya kuchelewa kwa maendeleo

    Ili jamii iweze kuendela inahitaji mambo mengi sana ikiwamo mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Katika kuhakikisha mipango ya mabo mbalimbali inatokea katika uhalisia viongozi wamekuwa wakitoa ahadi lukuki katika kufanikisha mipango ya maendeloeo na kutatua kero za wanachi wa jamii husika pale...
  15. Bunge la Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani Waziri Mkuu Imran Khan

    Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake tangu aingie madarakani 2018. Mapema mwezi huu muungano wa vyama vya upinzani nchini humo uliwasilisha...
  16. Nguvu za Imani👹👹

    Wakubwa na ndugu zangu naamini Mungu katujalia utajiri wenye thamani, namaanisha Afya. Tuseme Asante...... Kila siku nimekuwa nikifuatilia taarifa kwenye kurasa na blog mbalimbali miongoni mwa hizo ni jamii forums. Sehemu nyingi kati ya hizo ninakumbana na taarifa juu ya upatikani wa utajili...
  17. Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
  18. Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na...
  19. B

    Christmas alikuwa mahabusu, Mwaka Mpya mahabusu, Kwaresma mahabusu; ila haachi kutabasamu na kuonesha Imani thabiti kwa Mungu wake

    Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli wanasiasa tukiamini wao Wana nguvu kuliko Mungu; tulikaa Kimya tukiamini ayatuhusu Hadi tulipobaini kwamba...
  20. 4

    Sisali katika makanisa yao, ila naeshimu imani zao, watendewe haki

    WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi. Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza. Leo Tanzania tupo na dini nyingi ambazo zimebeba imani za watu mbalimbali, na sio mbaya Kama hakuna hukiukwaji wa SHERIA za nchi maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…