imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  2. JamiiForums Tanzania Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

    Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka. Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Sonona: Ugonjwa wa Umasikini wa Imani

    Sonona ni ugonjwa wa umasikini—kukosa mtu unayemwamini, mtu mmoja mwelewa, anayeweza kuelewa unachopitia, umtwishe shida zako, bila hofu ya kudhalilika, kuaibika au kufedheheka. Hatutibu sonona kwa vidonge na sindano zinazotusahalisha umasikini wetu huo bali kumsaidia mtu kurejesha imani kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula. https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

    Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo. Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu. Luka 6: 27 - 28. Sikieni niwaambie, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. Matayo...
  6. JamiiForums Tanzania Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  8. JamiiForums Tanzania Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
  9. JamiiForums Tanzania Je sayansi imeweza kuelezea kila kitu au hata yenyewe ina limitations zake? haswa kwa dunia ya kiroho na imani ni ukweli upi upo nyuma yake

    KAribuni
  10. JamiiForums Tanzania Kimedani: Mtawala au Rais hawezi kuwa na Imani na mtu mwenye ndoto ya kuwa Rais au mtawala kama Yeye.

    Hamjambo! Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta. Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni. Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ile imani yangu na uelewa wangu wa utotoni kuhusu "wanajeshi" na "Majaji(Hakimu)" sasa naweza kuuthibitisha

    Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watakuhukumu Kutokana Na Mitazamo Ya Misingi Ya Imani Zao

    Matendo 28 3 Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, nyoka akatoka kwa ajili ya ule moto akamzongazonga mkononi. 4 Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi wanafiki hawafundishi IMANI vijana wao

    Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua. Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Imani pofu (blind faith)

    https://youtu.be/MLxIyMnviyI?si=wDL9LaVjN_QjTG04
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  16. JamiiForums Tanzania Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

    Maulid Mubaraq good people.
  17. JamiiForums Tanzania Hili ni fumbo kubwa la imani, mpaka sasa Ikulu hawajaandika chochote kwenye website yao, hamna popote Rais amekubali barua aliyotumiwa.

    Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka. Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni. Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi. Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa. Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania JAB yawataka waandishi wa habari kulinda imani ya umma

    Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…