imani za kishirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mboju

    JamiiForums Tanzania Mnaoamini kuwa uchawi upo mnatumia vigezo gani?

    Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende. Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga wakachukua pesa. Kama kuna mtu humu ndani alishawahi kulogwa njoo utupe mrejesho ilikuwaje. Pia...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ukatili: Mtoto auawa na kukatwa sehemu za siri

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. PIA SOMA - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
  3. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
  5. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa ni kwa sababu za kisiasa, imani za kishirikina au ustaarabu?

    Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara. IIilazimu mahali fulani wagombea zaidi ya moja kulazimika kulala chumba kimoja. Na hii haikua tabu kwa...
  7. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  9. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mke ashirikiana na mume wake kumuua mama yake

    Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linawashikilia Joyce Julius na Juma Charles (wanandoa), kwa tuhuma za kumuua mama mkwe wao Butamo Igionzela (70) ambaye ni mama mzazi wa Joyce mkazi wa Bungezi kata ya Ihanamilo wilayani Geita wakimtuhumu kumuua mtoto wao kwa njia ya kishirikina. Akiongea na...
Back
Top Bottom