iliyokuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chemba iliyokuwa inatiririsha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo yasafishwa

    Juzi niliona mdau wa JamiiForums.com analalamikia kero ya chemba inayotililisha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo, ambalo lilizinduliwa katika siku za hivi karibuni. Ilivyokuwa awali Chemba inayotiririsha maji taka kando ya Soko jipya la Kariakoo ni tishio kwa afya Leo nimefanikiwa...
  2. My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

    Part one Najua haya maandishi tunayoandika humu yataishi na kusomwa humu hata baada ya sisi kuondoka Duniani miaka 50 ama 100 ijayo. Hivyo yanalengo la wengine waweze kujifunza. Wewe Mwanaume, kama halijakutokea leo, basi kesho linaweza kukutokea maana kwa utafiti wangu mdogo, huu mchezo...
  3. Polepole: Katiba iliyokuwa inapendekezwa ilikuwa mbaya

    "Kwangu mimi na wenzetu Watanzania kuahirishwa kwa Kura za Maoni ilikuwa jambo kubwa na la msingi kabisa kwasababu, Katiba inayopendekezwa ilikuwa mbaya" "Naamini Katiba inayopendekezwa na Watu"
  4. Nionavyo mimi, CCM ya sasa ni kama iliyokuwa Chadema ya Mbowe.

    Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana. Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na Chadema ni Msingi (Network formation). Wanachama wengine na viongozi walibakia kuwa watekelezaji na...
  5. M

    Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

    Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa na west. Kitu ambacho Iran kamfanyia Israel, kamwe Waisrael hawatakisahau. Israel ilidhani iko...
  6. Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

    Maneno ya Gwajima leo! ⏬ ======= "Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima "Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
  7. Video:Tim iliyokuwa inajengwa Sasa inabomoka

  8. Hatimaye bahasha iliyokuwa imefungwa imefunguka.(Ushoga)

    Yale mashati na T.shet za kijani nawaonea huruma huko barabarani hasa wafia chama. Kila mtu anajua yaliyotokea kuhusu ushoga Karibu sana smart phone.
  9. Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  10. Iliyokuwa Tanzania ya Kuheshimika na Mfano bora kwa Nchi nyingi za Afrika ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo ndiyo imefikia hapa?

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  11. Viongozi wa nchi za kiarabu kumwambia Trump hatutaki kumezidi kuivunjia heshima Marekani iliyokuwa taifa kubwa

    Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani. Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za...
  12. Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  13. Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege

    Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea kuimarishwa kwa kuongeza idadi ya ndege hadi kufikia 16 na idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga...
  14. M

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
  15. Responded DAWASA: Chemba ya maji taka iliyokuwa inamwaga maji ya taka Ilala sokoni, imetengenezwa

    DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
  16. Ndege ya Assad Yapigwa na Kombora la S-300 la Urusi

    Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
  17. Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
  18. Aliko Dangote ajutia kutoinunua Arsenal iliyokuwa inathamani ya dola bilioni 2, sasa ni dola bilioni 4

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni dola bilioni 2 tofauti na sasa ni $4 bilioni. Dangote alifichua kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya...
  19. Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

    Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
  20. DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…