ilani ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    PreGE2025 Diwani Kishapu ajitokeza kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM Januari hadi Juni 2025, joto la kutetea kiti Oktoba linapanda

    Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2025 Kata ya Kishapu mbele ya...
  2. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Uliozindua Ilani ya CCM 2025-2030: Mbona Hakuna Sera ya Kutenganisha Maisha ya Majeshi na Maisha ya Raia?

    Ukosefu wa “Sera ya Kutenganisha Maisha ya Majeshi na Maisha ya Siasa za Kidemokrasia” umekuwa ukifungua milango ya “demokrasia ya kijeshi,” yaani “militarised democracy,” jambo ambalo linapingana na Kanuni ya Imani ya Utanzania iliyotamkwa kwenye katiba ya nchi. Hivyo, nimeisoma Ilani ya CCM...
  3. K

    Mimi ni mwana CCM - Ninauliza kuwa Ilani ya CCM iliandikwa kufuata utaratibu gani?

    Kama nilivyoeleza hapo juu mimi ni mwana CCM na juzi niliona ilani ya CCM ikiwasilishwa mbele ya Mkutano Mkuu kule Dodoma. Kwa kawaida na kwa utaratibu ilani inatakiwa ianzie kwenye ngazi za chini (grassroot) wakiulizwa maoni yao na hii inatakiwa iwe kwa nchi nzima na baadaye maoni haya...
  4. peno hasegawa

    Ilani ya CCM 2025-2030: Imesahau Changamoto za Miundombinu ya Barabara zilizotajwa kwenye ilani ya CCM 2020-2025.

    Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini. Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya ya Siha hadi Longido, umbali wa kilometa 65, haonekani kwenye ilani hii mpya. Hili ni jambo la...
  5. K

    PreGE2025 Kwa ilani ya CCM ya 2025-2030 naiona kampeni ya Nitashiriki uchaguzi kuleta mabadiliko na no reforms no election itakufa kifo cha ajabu

    Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana. Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho. Ni suala la...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025/30 ni Ilani ya Wananchi

    "Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi, CCM imeongozwa na Dira ya kuiona Tanzania yenye ustawi kwa wote, nchi inayozingatia na kuheshimu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Neema Lugangira ataka Ilani ya CCM ijayo izingatie maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya AI kwa manufaa ya Taifa

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Neema Lugangira, ametamani Ilani ijayo ya chama hicho izingatie kwa kina maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI) kwa manufaa ya taifa. Akizungumza na wanahabari katika viwanja vya...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 Mbunge Cicil Mwambe: Jimbo la Ndanda limetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Mheshimiwa Cecil David Mwambe, amesema kuwa hadi kufikia sasa, utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 umefikia asilimia 85 katika jimbo hilo. Akizungumza leo Mei 25, mbele ya mabalozi wa mashina wa CCM katika...
  9. N

    Mpango wa kujenga 'Flyover' Tabata, Morocco, Mwenge, Magomeni kama Ilani ya CCM-2020/2025 ilivyoeleza umefikia wapi?

    Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 ilieleza kwamba itaanza/ kukamilisha barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara mbalimbali. Baadhi ya maeneo yaliyoanishwa kwenye Ilani hiyo, makutano ya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo aongoza maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa Utekelezaji wa Ilani ya CCM

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  11. upupu255

    PreGE2025 Oddo Mwisho: Tufanyekazi kwa ushirikiano kutekelezaji Ilani ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amesema Serikali inatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi hivyo ni wajibu wa viongozi kushirikiana na chama ili kuhakikisha kuwa ilani ya CCM inatekelezwa. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wasira: CCM inakuja na ilani yake ya uchaguzi mkuu , ambayo itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana

    Chama Cha Mapinduzi CCM kimesema ilani yake ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana ikiwemo namna ya kutatua changamoto ya ajira. Hayo yameelezwa leo Machi 22, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alipokuwa akiwahutubia...
  13. DaudiAiko

    PreGE2025 Tofauti na miradi ya maendeleo, haya ni mambo ya muhimu yanayotakiwa kuwa kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM

    Wanabodi, Ninakubali kwamba kuna mapungufu makubwa kwenye sheria ya uchaguzi, kwenye tume yetu ya uchaguzi na vilevile kwenye katiba yetu. Kurekebisha mapungufu haya kutahitaji washika dau wote kukaa meza moja na kuwasilisha hoja zitakazo ibua zaidi mapungufu haya. Ingawa mapungufu haya yapo...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita: Tumetekeleza Ilani ya CCM kwa Asilimia 95

    Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika Halmashsuri hiyo . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwanachama UWT: CCM haina haja ya kujielezea maana imeshatekeleza kila kitu

    Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi kupitia Wizara mbalimbali za Serikali. Ameongeza kuwa, uteuzi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. B

    Utekelezaji wa ilani ya ccm 99% imetiki nje ndani moshi mjini

    UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 99% IMETIKI NJE NDANI MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO AMEKUWA MSIMAMIZI IMARA WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MDANI YA JIMBO LA MOSHI MJINI. MBUNGE WETU AMEPIKWA VEMA NA CCM KUANZIA UVCCM KISHA KUWA KIONGOZI WA KADA TOFAUTI NA HII IMEMFANYA MBUNGE WETU KUWA BORA. HATUNA...
  17. R

    Huduma ya Afya bure kwa mama na mtoto ipo kwenye ilani ya CCM 2020/2025?

    Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto. Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na kama haikuwa ahadi hatuwezi kumuhukumu Chalamila. Labda tupendekeze iwe kwenye ilani za vyama 2025...
  18. Waufukweni

    Pato la wastani kila Mtanzania wafikia TSh 3.05 milioni kwa mwaka

    Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), pato la wastani la kila mtu nchini limeendelea kuongezeka kutoka shilingi 2,653,790 mwaka 2020 hadi shilingi 3,055,606 mwaka 2023. Hayo yameelezwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, jijini...
  19. H

    Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji

    Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ibara ya 100 inaelekeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kufikia asilimia 95 mjini. Utekelezaji wake ni kwamba Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  20. Z

    LGE2024 Wapinzani tunaweza kuishinda CCM kwa kutumia ilani ya CCM yenyewe bila matusi au kufanya vurugu

    Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo. Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi wa kura kwa kuahidi uongo nk nitakuwa nimekuonea? Wambieni wananchi kuwa CCM niwaongo maana kwenye...
Back
Top Bottom