Mwanaharakati Cyprian Musiba amedai kuwa kuna watu wasiokuwa na nia njema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, akiwataja kama "wahuni." Musiba ameongeza kuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amejitokeza kama mkosoaji ndani ya Serikali, akisisitiza kuwa si lazima wakosoaji wote watoke...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ambapo Mheshimiwa Lukuvi ambaye awali alikuwa mshauri wa Rais wetu Mpendwa katika masuala...
Wanabodi,
Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR.
Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Sura ya tano ya ilani ya chama cha mapinduzi 2020-2025 imeeleza, kwanza mafanikio iliyoyapata katika sekta ya ulinzi na usalama katika awamu ya utekelezaji iliyopita, kisha ikaeleza ni mambo gani itayafanya katika sekta hiyo ikiwa chama...
Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake?
Bahati nzuri anagusa kila kona...
Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu:
1. Ujenzi wa barabara:
- Jiandae kwa utekelezaji wa mradi wa kujenga barabara ya lami kutoka Geita hadi Kahama kupitia...
Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030. Kikosi hicho kinaongozwa na komredi Stephen Wassira.
Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa Nape na...
Habari zenu.
Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025.
Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi...
Bwana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia ni mfano wa kupigwa na kinara wa utekelezwaji wa Ilani.
My Take
Samia amemwaga mabilioni Nchi nzima Kila sekta haijawahi tokea Kwa Rais yeyote kabla yake tena Kwa mda mfupi sana.
====
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.