Hello.
Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha.
Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama.
Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo (CCM) leo Novemba 22, 2025 ametimiza ahadi ya kukabidhi mashine za kushonea(cherehani) nne kwa mafundi waliopo mtaa wa Mwembeni, Kata ya Manzesse, jimbo la Ubungo.
Kitila...
Mgombea ubunge wa Mkinga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewaahidi wananchi iwapo wakimpa ridhaa ya kuliongoza jimbo hilo, atatatua kero ya umeme kwa baadhi ya vijiji ndani ya miezi mitatu
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Mayomboni wilayani...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo, Edward Mpogolo, amesema kiongozi wa serikali hawezi kutenganishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ndiyo msingi wa kazi alizopewa kusimamia.
“Wewe ni kiongozi wa serikali, unasimamia...
Mh Rais Samia ilani ya ccm inasemaje kuhusu utekwaji na kuuwa kwa vijana wa kitanzania?
Lejea mdude, SOKA shyrose na wenzake?
Je vijana msio na ajira mtampa ajira Samia Suluhu hassani?
Akiwa katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 ITV Septema 8, 2025, Professor Kitila Mkumbo alisema haya kuhusu suala la utekaji na ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
"ilani ya CCM ina vipaumbele tisa, kwa mfano kipaumbele cha sita ni kudumisha demokrasia na utawala bora, hapa tunazungumzia...
Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika Dunia hii ya ushindani wa kiuchumi walau tuiweke nchi kwenye ramani? Ilani iliyopita ilikuwa na vitu...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es...
Waziri wa kuwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar, Hamad Yusuf Masauni ameeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano (2020- 2025) katika jimbo hilo akiwashukuru wapiga kura wake.
Hii ni kwa great thinkers tu. Habari zenu na poleni pia kwa majukumu. Kama mada inavyojieleza naomba tujadili wadau.
Mimi naona mfumo wa elimu yetu baada ya uhuru haujaleta tija yoyote katika umma wa kitanzania ukilinganisha na mfumo wa elimu uliokuwepo kabla ya uhuru.
Naomba tujadili kwa...
0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans lakini hadi sasa, yawapo jobless wengi; young people wengi bado hawajafikiwa.
209-1Zaidi, kulikuwapo...
🔰ILANI YA CCM NDIO MKOMBOZI WA KILIMO TANZANIA
Utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Sura ya pili ibara ya 2.1.3.1 kwenye eneo la Kilimo cha umwagiliaji, Eneo la umwagiliaji limeongezwa kutoka hekta 561,383 mwaka 2020 hadi hekta 983,466.06 mwaka 2024.
Lakini ilani ya CCM ya mwaka...
Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba
Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama mbalimbali wa chama hicho Prof Mbarawa amebainisha namna alivyofanya jitihada za ziada kwa kutafuta pesa...
EDWARD LEKAITA: TUMEENDA ZAIDI YA TULICHOAHIDI KWENYE ILANI YA CCM 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kishindo, ambapo utekelezaji huo umetikisa katika majimbo yote...
Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo, amewahamasisha wananchi kujiandaa kwa uchaguzi kwa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo.
“Wananchi...
Wakuu,
Nilikuwa napitia hii ilani ya CCM ambayo waliizindua huko Dodoma hivi karibuni.
"Kuimarisha ulinzi wa Bahari dhidi ya matumizi yasiyosahihi na usalama wa nchi kwa kufunga rada tano (5) pamoja na vifaa vya uangalizi"
Kuna kitu ambacho hawa CCM wameahidi naona kama hakitelezeki.
Kwenye...
Salam sana wana jamvi,
Awali ya yote nawasalimu Watanzania wenzangu kwa kupitia jukwaa hili. Nikiwa ni mpenzi wa kufuatilia sisasa za Tanzania, hususani vipindi vya uchaguzi kwa kweli naona kuna mengi ambayo kila chama cha siasa kinayafanya kwa lengo la kupata madaraka/ kuunda serikali kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.