Mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Chalamila, kuna kituo cha mwendokasi na ukivuka barabara kuna barabara inayoelekea Keko, Temeke na n.k. Barabara hiyo pia kuna mkunjo kwenye mataa unaoelekea Kariakoo. Hapo sasa kuna wamachinga wanapanga na kuuza viatu kwenye eneo la...
Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu 2026 Februari.
Nilivyoanza mchakato katika Ofisi za NSSF jengo la Benjamin Mkapa lilipo Posta ILALA...
Anonymous
Thread
boma
customer
customer care
huduma
ilalailalaboma
kupata
nimefanikiwa
nssf
watoa huduma
Nimekuwa nikitembelea Soko la Ilala Boma kununua bidhaa za ndani kwa ajili biashara ya genge, sasa ni takribani miaka minne imepita. Kusema ukweli, soko hilo lipo katika hali mbaya licha ya kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Katika kipindi hiki...
Anonymous (1296)
Thread
halmashauri
halmashauri ya jiji
ilalailalaboma
jiji
kiafya
mazingira
mazingira hatarishi
soko
ujenzi
ujenzi wa uwanja
Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu
✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90
✅nguo ya mtoto 400000 PC 350
✅ gauni 400000 PC 130
✅blouse 380000 pc 280
✅shati 900000 PC 200
✅viatu 250 PC 40
✅ school...
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko.
Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia?
Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
Anonymous
Thread
afya
bomailalailalaboma
kero
kusimamia
mamlaka
mazingira
soko
vyakula
wapi
Wakuu,
Barabara ya Ilala Boma eneo lile ambako ni karibu na karume kulikuwa na mataa ya kuongozea magari mwanzo, lakini baada ya kuanza ujenzi wa mwendokasi mataa hayo yalitolewa.
Sasa hivi kumekuwa vurugu mechi, ni hatari kwa wenye vyombo vya moto lakini ni hatari zaidi kwa watembea kwa...
Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM.
Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo.
Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.