Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako.
Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo vya usalama na raia wapenda amani kuwezesha hilo.
IGP Wambura ameyasema hayo katika ufunguzi wa...
Wana JF
Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake, lakini pia hata mkuu wa Jeshi la Polisi nchini nae kufanya vivyo hivyo kulingana na changamoto za...
Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea.
Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania.
Kwa kuwa...
Kila mtu alishangaa sana Rais Samia kuwapa nafasi hizo maaskari hawa (Camillius Wambura - IGP na Ramadhani Kingai - DCI)
Hawa ndiyo waliokuwa vinara wa kutengeneza kesi bandia ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA - taifa Mh. Freeman Mbowe mwaka 2020.
Tuliwaona walivyokuwa wababaishaji na...
Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini.
Soma pia:
=> Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na...
Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao.
Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi...
Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini.
Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
TLS, LHRC , Vyama vya Siasa na wadau wote wa Haki Nchini.
Haya Machozi ya Hawa wazazi yasiende Bure .
Wakati tunapaza sauti zetu kuhusu yule Binti alobakwa, Tukumbuke hapa Kuna Kijana Mdogo ambaye Ameuliwa kama alivyouliwa yule Binti wa Chuo wakati wa maandamano.
Pia Soma
- Simiyu: Mkuu wa...
Nimesikiliza kwa umakini Mbowe, Lissu na Mnyika kuwa wamepigwa sana na Jeshi la Polisi.Mbowe amedai kuwa hawataenda kuripoti katika vituo vya Polisi kwa madai kuwa ni kesi hewa. Asante babanMbowe, Lissu na Mnyika wameeleza katika madai yao kuwa CP Awadhi Haji alimfokea RPC wa Mbeya kwa kuwalea...
Salaam,Shalom!!
Kujiuzulu nyadhifa yoyote katika utumishi wa umma,Si lazima utokane na mapungufu binafsi katika ofisi Yako, la hasha, inawezekana kabisa kujiuzulu Kwa makosa ya Walio chini Yako Kwa uwajibikaji wa pamoja,
Mtu anapotea, ndugu wanazunguka vituo vyote vya polisi, polisi wanadai...
Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura...
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo.
Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi mliopewa dhamana ya ulinzi wao na mali zao mkae kimya?
Mfano, hawa wanajiita Mkopo Fasta walimpigia...
Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee.
Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchin IGP Camillus Wambura amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kuendelea kutanua wigo wa mashirikiano na wadau mbalimbali katika kukomesha na kudhibiti wimbi la vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia vinavyojitokeza kwenye jamii.
IGP Wambura...
Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema.
Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa.
Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu.
Wanaotenda mema bila kujali mapito...
Hii nimeona leo mitaa ya Bunju!
Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa.
Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
Kila Siku za Ibada hapo za Jumapili, Jumatatu, Jumanne na zile za Matamasha Watu / Waumini huibiwa Simu au Pochi kwa Kuporwa huku Wakijeruhiwa na Vibaka Maarufu ambao baadhi yao Mchana huwa ni Madereva Bodaboda katika Ukanda huo.
GENTAMYCINE niliwahi Kumtaarifu hili ( hapa hapa JamiiForums )...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.