Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
It gives you an opportunity to vote and elect leaders of your choice.
It allows you to vie for any elective position
It allows you to propose or second your preferred candidate for nomination
It gives you the right to nominate candidates for elections
It gives you moral authority to hold leaders...
When you're younger than eighteen.
When you don't have a valid Kenyan passport or the original ID card.
When, over the previous five years, you were alleged to have committed any election offence or found guilty by an election court.
If you are deemed mentally incompetent by a competent court.
An eligible voter must present himself or herself to the registration officer with his/her original identification documents at the designated registration centre during working hours.
The applicant fills the Application for Registration form (Form A)
Registered voters will be issued with a...
Upinzani Umeungana umetuma orodha ya madai kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakidai kuwa tume hiyo imekiuka masharti ya Katiba. Kupitia barua yao, upinzani umesema kuwa kufichua taarifa hizo ni muhimu ili kuhakikisha IEBC inatekeleza wajibu wake ipasavyo na kuimarisha haki ya uchaguzi...
Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo.
Katika uamuzi uliotolewa...
Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724) lililotolewa tarehe 10 Juni 2025, na umefuatiana na uteuzi wa maafisa sita wa IEBC kupitia Tangazo la...
1. Walitangaza nafasi, wakaomba watu.wengi , wakawa shortlisted???
2. Wakafanyiwa Interview ya wazi, televised kila Mkenya anaona na kusikia
3. Wanampelekea Rais kati ya majina 5???? ateue mmoja Mweyekiti na commissioners wengine, bado wanasema ameteue kutoka kwao!
SISI HAPA SAMIA ANATEUA...
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==
Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi.
Bw...
Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali.
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
President William Ruto has gazetted three vacancies available at the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC); Chairperson and two other commissioners.
This follows lapse of the tenure of IEBC Chair Wafula Chebukati as well as Commissioners Abdi Yakub Guliye and Molu Boya on 17th...
Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC).
Baadhi ya Makatibu Wakuu waliohudumu chini ya utawala wa Rais wa zamani Uhuru...
Baada ya Rais Mteule William Ruto kuzungumza na wanahabari muda mchache uliopita, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) anazungumza na wanahabari muda huu
Fuatilia hapa sasa
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imesema hukumu ya Mahakama ya Juu ni ushahidi kwamba mchakato wa...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa mchanganuo wa kina wa hatua ilizoweka ili kuhakikisha kuwa mifumo yake ililindwa dhidi ya wadukuzi na watu ambao hawajaidhinishwa.
Katika majibu iliyowasilisha kwa Mahakama ya Juu Jumamosi, Agosti 27, IEBC kupitia mawakili wake ilishikilia kuwa...
Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais
Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu.
Pia Mahakama iliagiza Tume kumpa masanduku ya Kura kutoka vituo mbalimbali yafunguliwe kwa ajili ya ukaguzi...
Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura
Uchaguzi wa Ugavana unaendelea Mombasa na Kakamega, wa Wabunge katika Majimbo ya Kitui Vijijini, Kacheliba, Pokot Kusini na...
Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote...
Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana...
Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
Hizi ndiyo zile nchi sasa akiziita Trump lile jina letu pendwa. Mola akawalinde ma commissioner hawa waliosimama imara na katiba ya nchi.
Yale yale ya kura pigeni mnakotaka ila washindi tutatangazwa sisi.
"Chebukati names top govt officials who wanted to influence Presidential results...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.