idara ya uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Idara ya Uhamiaji Mafinga ina usumbufu sana unapotaka kupata NIDA ID

    Idara ya Uhamiaji wilaya ya Mufindi wamekuwa na usumbufu sana kwa wananchi na kupelekea wengi kukosa vitambulisho vya NIDA. Hii ni inatokana na maafisa pale kuwarudisha wananchi hata kama zile nyaraka muhimu wakiwa nazo kama cheti cha kuzaliwa, au hati ya mpiga kura.
  2. BigTall

    KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  3. BigTall

    Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini

    Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii. Kuna kundi linaloona kuwa kasi hiyo inaweza kuchochea mabadiliko ya kiuchumi, hasa katika sekta ya...
  4. PAYE

    GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  5. S

    Hali ya wasiwasi ya washirika wa Marekani yaendelea kutanda

    Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
  6. Roving Journalist

    Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  7. Roving Journalist

    GE2025 Bashungwa aagiza Idara ya Uhamiaji kudhibiti Wageni wenye nia ovu kipindi cha Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuwekeza nguvu zaidi katika kuimarisha doria na misako usiku na mchana nchi nzima katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, kwa kuhakikisha hakuna mgeni au makundi ya wageni wenye nia ovu ya kuhamasisha au...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Uhamiaji: Godbless Lema ametakiwa kuripoti katika ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu kwa ajili ya mahojiano zaidi

    Idara ya Uhamiaji inapenda kuujulisha umma kuwa leo tarehe 6 Juni, 2025 katika kituo cha uhamiaji cha mpaka wa Namanga Mkoani Arusha, ndugu Godbless Jonathan Lema alizuiliwa kutoka nchini na pasipoti yake ya kusafiria kushikiliwa. Sambamba na zuio hilo, ndugu Lema ametakiwa kuripoti katika ofisi...
  9. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa aitaka Idara ya Uhamiaji kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA)

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi wakati wanapokuwa katika mchakato wa kutafuta Kitambulisho cha Taifa. Bashungwa ameelekeza hayo leo...
  10. Just Pray

    Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

    TAARIFA KWA UMMA Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars. Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aitaka Idara ya Uhamiaji Kutoa Huduma Nzuri kwa Wageni, Kuchochea Utalii

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali. Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  12. N

    Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

    Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
  13. Don Gorgon

    DOKEZO KERO Kupata huduma kwenye Ofisi za Uhamiaji kunahusiana nini na mavazi mtu aliyovaa?

    Mara nyingi nimeona akina dada wakikataliwa kuhudumiwa katika ofisi za uhamiaji kwakuwa aidha wamevaa nguo zinazoelezwa maafisa kuwa ni fupi au za kubana. Nani anaweka vigezo hivi? Mbona neno uchi tumelikuza hadi kufikia maeneo ambayo hayapaswi kuwa uchi? Kwahiyo Maafisaa wakiona miguu ya akina...
  14. Jamii Opportunities

    Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo: 1. SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira...
  15. DexterLab

    Uhamiaji ni jeshi au idara ya kawaida?

    Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake. Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo. Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza...
  16. Roving Journalist

    Idara ya Uhamiaji yasema haijazuia kutoa Visa kwa Wageni

    YAH: UTOAJI WA HUDUMA YA VISA ON ARRIVAL KUINGIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuwajulisha wageni na wadau wote kuwa haijasitisha utoaji wa Visa kwa wageni kwenye vituo vya kuingilia na kutoka nchini. Hata hivyo, Idara ya Uhamiaji Tanzania...
  17. wakolosai

    KERO Uzembe wa Idara ya Uhamiaji Tanzania katika Huduma kwa Wateja

    Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
  18. Roving Journalist

    Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  19. Mavipunda

    Hii ni aibu kwa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kukosa Generator

    Leo siku ya tatu tunasubiria passport ya ndugu yetu ambae ni mgonjwa.Alitakiwa kuwa India tokea juzi lakini tunaambiwa hakuna passport zinazochapishwa kwa sababu ya kukosekana umeme pale kwenye jengo lao Kurasini. Tunakubali hitilafu za umeme ni za kawaida lakini kweli sehemu nyeti kama ile...
  20. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
Back
Top Bottom