Wanafunzi na baadhi ya walimu katika upande wa afya wanatoa tuhuma dhidi ya viongozi watatu wa chuo ambao ni Liberatus Phillip (Mkuu wa Chuo upande wa Afya), Sylvester Mgeta (Mtathmini Ubora) na John Michael Henry (Mkuu wa Idara ya Famasi), wakidai kuwa wamekuwa wakijihusisha na vitendo...
Anonymous
Thread
chuo kikuu
idarayaafya
malalamiko ya wanafunzi
mbeya
teku
teofilo kisanji
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi...
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
Anonymous
Thread
afya
geita
idaraidarayaafya
kila mwezi
kiserikali
kupitia
mkoa
mkoa wa geita
mshahara
mwezi
shirika
wafanyakazi
wao
Mi ni mtumishi katika Wilaya ya Misungwi Mwanza, Idara ya Afya. Novemba 2024 tuliajiriwa watumishi 22 hapo, mpaka sasa tuna mwaka na miezi sita hawajatuthibitisha kazini wote 22.
Tukiwauliza hawatupi majibu ya kuturidhisha, inatutesa sana hii hali.
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa.
Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
Anonymous (8196)
Thread
afya
ajira
ajira mpya
hii
idaraidarayaafya
ifutwe
kuhusu
kujikimu
malalamiko
manispaa
mpya
naomba
pesa
pesa za kujikimu
post
watumishi
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano DRCHco wa halmashauri hiyo ana DIPLOMA, ili hali wapo NURSES wana Bachelor Degree na masters lakini...
Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi?
Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi?
Unamtoa Mfamasia...
Akitoa taarifa ya kufukuzwa kwa watumishi hao baada ya baraza hilo kujigeuza na kuwa kamati mwenyekiti wa halmashauri Pankrasi Maliyatabu aliwataja Watumishi hao kuwa ni Atanasi Ignas Mgunda Mteknolojia msaidizi na Japhet Masud Kimondo ambaye ni tabibu msaidizi.
Amesema kuwa Watumishi hao...
Katika hali ya kushangaza wizara na TAMISEMI imetuletea DMO kutoka Mtama DC.
DMO huyu alikuwa na tuhuma lukuki huko alikotoka na ikafikia madiwani kuazimia kumtoa madarakani lakini cha kushangaza mnatuletea huku.
Ilishindikana kuteua Daktari yoyote ndani ya halmashauri yetu mpaka mkaamua...
Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje.
Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI).
Ukienda Halmashauri na Mikoani...
Karibu katika andiko hili la afya lenye kuelezea jinsi rafiki wa afya zetu anaweza kuwa adui mkubwa wa afya zetu.
Je, ulishawahi kusikia juu ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ? Kama ulishawahi kusikia ama hujawahi ungana nami tujifunze zaidi.
Usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Hali ya dawa...
Wapendwa nisalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hapa Magu tumesumbuliwa sana na makatibu wa afya, tumejaza OPRAS mara mbilimbili, tukaombwa barua za ajira, za kuthibitishwa kazini na za kupanda madaraja kwa Mara ya mwisho.
Vyote hivyo tuliwakabidhi, mwezi huu umepita patupu kwa wengi wetu...
Kiukweli ni hali ya kusikitisha sana idara ya afya kushindwa kuwaweka kwenye orodha ya watumishi wanaopaswa kupanda daraja zaid ya watu 50.
Dhahama hii imewakumbuka baadhi watumishi wengi walioajiriwa kuanzia miaka ya 2015 na kurudi nyuma.
Katika kufuatilia kwangu nimeona watumishi hawa sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.