ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Ghati Chomete aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Lukuvi, bungeni Dodoma

    GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
  2. Pascal_TZA

    Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

    @prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA @prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
  3. Pakome

    Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  4. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  5. hamis77

    Al-Kaaba: Urithi wa Kipagani na Ibada ya Siri

    Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka. (Kaaba History, Sabir Khan) Exoteric meaning (kwa waumini au Maamuma) Hawa Mimi nawaita tabaka la chini,maamuma, huambiwa...
  6. N'yadikwa

    Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  7. A

    KERO Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi tunateseka na sauti ya muziki mkubwa hadi usiku mwingi

    Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane. Sauti kubwa sana...
  8. Kimbesa11

    Watumishi wa Mungu acheni kuonyesha misimamo yenu ya kisiasa kwenye nyumba za ibada tunasali/kuswali watu wa vyama vyote

    Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu. Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa kunibadilisha Mimi chama changu hata ufanyaje. Nawatakieni sikuku njema wakuu. Tuwe na kiasi Kuna...
  9. Mafyangula

    Padri awabana maswali mazito wanandoa katika kati ya ibada. Ukisikia kukabia juu ndio huku

    Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano, Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
  10. W

    Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  11. hamis77

    Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  12. Damaso

    Makisio ya ibada ya Jumapili – Injili na Imani Katika Umoja

    Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la...
  13. President of China

    Ibada ya jumapili 16 November 2025 KKT- dmp usharika wa Kimara

    Hakika leo tutamuona Bwana. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu https://www.youtube.com/live/ZwoR6G-ES4A?si=KkuSya7M3fCqZb_-
  14. A

    Ibada ya kuliombea taifa

    IBADA YA KULIOMBEA TAIFA Kuna njia nyingi za kuonyesha hatupendezwi na yanayoendelea nchini na kuombea muafaka wa kitaifa kwa kushiriki ibada maalum tunaweza kutenga saa, siku kadhaa kuliombea Taifa. Hizi ibada, maombi dua maalum zinaweza kwenda pamoja na mfungo kila mtu kwa imani yake lakini...
  15. R

    Takribani watu 30 wamefariki na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya jengo la Kanisa kuporomoka Ethiopia

    Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
  16. Mr Why

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  17. U

    Msibani juzi mchungaji wa Kisabato kutumia muda mwingi kushambulia RC na kuwa na Ibada za wafu huku akidai wao hutoa huduma na siyo Ibada

    Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na wakatoliki. Akadai kwamba ni kweli mwili wa marehemu uko mbele lakini hawana Ibada bali wanatoa...
  18. J

    Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili

    Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili Kumekuwepo dhana mbalimbali kuhusu hali ya nywele, wakati wa ibada. Majibu ya dhana hizo yanapatikana kwenye maandiko. JINSIA YA KIUME Kuhusu jinsia ya kiume, Biblia inasema mwanaume hapaswi kuwa na nywele ndefu kwa sababu kichwa...
  19. Kitimoto

    Hayati Ndugai anazikwa kwa Ibada ya Kanisa ama na Bunge?

    Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba. Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo...
  20. DuaZaMama

    Mhandisi Zena Ahmed Said: Msionyeshe ufundi kwa michepuko, Ndoa ni ibada

    Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said ametoa rai kwa watumishi wa umma kubadilisha mtazamo kuhusu maisha, akisisitiza kuwa kazi, elimu na ndoa ni Ibada na hivyo vinahitaji kutekelezwa kwa moyo, weledi na nidhamu. Mhandisi Zena ametoa kauli hiyo...
Back
Top Bottom