Hivi Rais kama Idriss Deby wa Chad ( sasa Marehemu ) Kwanza amedumu Madarakani kwa miaka 30, Katesa na Kuua sana Watu, Kaharibu Demokrasia nzima ya Chad, kazaa na Wake za Wateule wake, alikuwa Mkabila na Mdini, kapendelea mno Kwao, wala hakujali Wafanyakazi wake kwa Kuwaongezea Mishahara yao...