huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Huwa inachukua muda gani kumpata demu

    Kwema wakuu, Vipi huwa inawachukua siku ngapi au miezi mingapi mpaka unamla demu unayemfukuzia
  2. JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

    Hakika pesa inamwagika msimu huu pale msimbazi Kigwangala yuko wapi atoe pongezi ?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  8. JamiiForums Tanzania Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

    Bwana ni mwema! Sina shida na kumkera mtu yeyote Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake. Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc. Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada. Kwa sababu zangu binafsi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali huwa haina bank yake ya biashara? Kuna logic gani serikali kutokuwa na bank hiyo ili kupungunza riba?

    The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo? Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
  10. JamiiForums Tanzania Unafiki na Upuuzi kama huu ndiyo huwa unanifanya niwe na Hasira na Awamu hii ya Mama yenu

    THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has been instructed to suspend all operations involving arresting traders, as well as suspending inspections on electronic fiscal devices receipts for at least one month. Thobias Makoba, the chief government spokesman, late yesterday that this was the first...
  11. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Wanawake wanaofanya Ngono mara Tano ( 5 ) kwa Wiki hawazeeki haraka kuliko wale wanaoibania 'Mbunye' na kuitoa kwa Uchoyo na Masharti

    Nendeni huko TimesFmTz ( katika Mtandao wao ) ili mkajiridhishe Wenyewe. Ukipinga basi uje na Tafiti yako nawe Ok? ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Tajiri "Bilionea' Diamond kakubali kuwa hata Yeye 'sometimes' huwa anachapiwa / anabanduliwa Mademu zake, Wewe ni nani ukatae kuwa husalitiwi?

    Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

    Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba. Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzan Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnatusemaje?

    Habari wa ndugu leo nataka niulize nijue kwa sisi wanaume ikitokea mmeachana na demu ile kujipa moyo tunasema "Muhimu nimepiga" 😁 Sasa kwa nyinyi wanawake huwa mnasemaje 😁
  15. JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  16. JamiiForums Tanzania Ngano isiyosindikwa huwa wanatengeneza nini?

    Nikipita sokoni naiona inauzwa najuaga labda matumizi yake ni kutengeneza tu unga wa lishe. Gunia lake linauzwa 200000-350000. Sijawahi kuona nyumbani kwetu wameinunua ngano hiyo.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?

    Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
  18. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwa kina mchochea mtu kutukana na kuporomosha matusi

    Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho...
  19. JamiiForums Tanzania Kama huwa anakusaliti sema hivi kwa kingereza

    KAMA HUWA ANAKUSALITI, SEMA "HE/SHE CHEATS ON ME". Tunapozungumzia suala la usaliti katika mapenzi, yaani fulani anakusaliti, huwa tunatumia preposition "on". Ambao wamesoma nasi kwenye mada ya "Preposition collocations" wanaelewa nazungumzia nini. Usitumie "cheat" peke yake bila preposition...
  20. JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…