Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema endapo Watanzania watakipa ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuongoza nchi, serikali ya chama hicho itahakikisha inaendelea kulinda amani, umoja na maridhiano akieleza kuwa mambo hayo ndio...