1. Rais Samia ulivyomteua kumpa ubunge wa kuteuliwa yule bwana kutoka sekta binafsi ya fedha , mtaalm, msomi na mchapa kazi tulijua tunamfanya waziri wa fedha na nchi ingefurahi lakini imekuwa kinyume
2. Dr Biteko alikuwa kiongozi mstaarabu sana na mchapa kazi umekosea sana kumwacha alistahili...
Kampuni ya Itel East Africa Limited ilijiandikisha rasmi tarehe 15 Februari 2013, ingawa inadai kuwa imekuwa ikifanya kazi tangu mwaka 2010. Kampuni hii, ambayo ofisi zake ziko Dar es Salaam, ofisi namba 27 katika jengo la Uhuru Heights, karibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ni kampuni...
Mgombea wa Ubunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake haiwezi kukataa kuuza sukari nje ya Nchi Kwa sababu kuna baadhi ya watu wanaohoji kwanini Tanzania inauza sukari Nje ya Nchi kwamba Kutakuwa na upungufu wa Bidhaa hiyo
Bashe...
"Uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 ni uchaguzi wa kufanya maamuzi kati ya Maisha halisi na anasa, wapo wanaojadili anasa wakitaka ndio ziwe ajenda za uchaguzi kwamba haki na uhuru wetu umeondolewa kwasababu hakuna Twitter, sisi huku Vijijini tunaelewa maana ya hatua unazozichukua.
... Niwaombe...
Wakuu,
Aprili 7, 2017 Bashe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), "Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi. Kama mtu ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji."
April 10 akiwa bungeni aliweka hoja mezani akiomba bunge liahirishe...
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema serikali inajenga kiwanda kikubwa cha kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora, huku maandalizi yakiendelea kwa ujenzi wa kiwanda kingine cha kuzalisha mbolea ya zao hilo, ikiwa ni mkakati wa kuongeza uzalishaji na ubora wa Tumbaku ya Tanzania kwenye...
Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amefanya mahojiano maalum na Azam TV 17 Jul 2019 na kuzungumzia sakata linaloendelea kushika vichwa vya habari kwenye medani za siasa la waraka ulioandikwa na makatibu wakuu wastaafu wa CCM Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba.
Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata ufaulu wa juu. Hadi leo, utekelezaji wa ahadi hiyo haujafanyika.
Ahadi hiyo ilipokewa kwa matumaini...
Waziri Kivuli wa Mifugo wa ACT Wazalendo, Thomas Nkola ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku zisizopungua tatu kwa tuhuma za kumkashifu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
Chanzo: actwazalendo_official
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 kwenye ziara ya Rais samia amesema kuwa;
''Jambo jingine ambalo Mhe. Rais nataka nilitolee maelezo na nataka hili niliongee polepole Wakulima wote wa Pamba na Wanasiasa...
https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:
Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...
Alilia na kuwa na hofu baada ya...
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa
===
Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki.
Bashe...
Wakuu.
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro mkubwa wa kibiashara kati ya Malawi na Tanzania, mgogoro ambao ukiuangalia kwa umakini, madhara yake yanaweza kuwa makubwa hasa kwa upande wa Malawi.
Kama mnakumbuka siku chache nyuma, Malawi iliamua kupiga marufuku uingizaji wa baadhi ya...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
Wana bodies,
Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku .
Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha
Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye kachumbari bila limao!
Bashe na waziri wa biashara chukueni hatua za dharura malimao yapatikane...
Salaam Wakuu,
Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani.
Pia alitoa maagizo kwa mawakili wake waiombe Mahakama Kuu ya Tanzania itoe maelekezo kwa Waziri wa Kilimo Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.