Wapenda katika bwana salam kwa jina la bwana wetu yesu kristo!!
Ukihisi hujakua kihisia, au huwezi kushkilia Mihemko, au re avaluate mapokeo yako Logically tafadhali pita nimelileta kwenu kwasababu binafsi limenishinda!!
Nimekuwa na mwanafunzi wa Bible kwa muda sasa karibu miaka mitano au...