huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM anapotaka Tume Huru si Bure

    Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo...
  2. JamiiForums Tanzania Padre Kitima: Uchaguzi wa Tanzania hauna sifa ya huru

    Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki? Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), 12-9-2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe 12 Septemba, 2022
  4. JamiiForums Tanzania Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

    Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi. Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Washirika wa Sabaya wafutiwa Shtaka la Uhujumu Uchumi kwa makubaliano na DPP, waachiwa huru

    Katika Gereza Kuu la Karanga Moshi, washtakiwa hao wamesota mahabusu kwa siku 95 na katika Gereza la Kisongo lililoko mkoani Arusha, walikaa kwa siku 363. Walioachiwa huru baada ya kuingia makubaliano (Plea Bargaining) na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), ni mshtakiwa wa pili, Sylvester...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli utakuweka huru Rais Samia

    Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta alituleza ukweli uliotuumiza, Rais Samia ameusimamia ukweli ambao tulitaka tuufiche...
  7. JamiiForums Tanzania Bosi wa zamani RAHCO akutwa na kesi ya kujibu, wenzake waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhardard Tito. Tito amekutwa na kesi ya kujibu baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao wa mashahidi tisa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Russia iwe funzo kwa ulimwengu wa sasa, Mabunge yawe Huru

    Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu. Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  11. JamiiForums Tanzania Update: Watawa waliotekwa Nchini Nigeria waachiwa huru

    Watu wenye Silaha wamewaachilia huru "bila kujeruhiwa", Watawa 4 wa Kikatoliki waliotekwa nyara mapema wiki hii katika jimbo la Imo Kusini-Mashariki mwa Nigeria. Msemaji wa Polisi katika eneo hakuweka wazi iwapo kuna malipo yalifanywa kwa Watekaji ili kuwaachia huru Watawa hao. --- Nigerian...
  12. JamiiForums Tanzania Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru. Taarifa zaidi inafuata. ----- Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
  13. JamiiForums Tanzania India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  14. JamiiForums Tanzania Lebanon: Jaji aamuru aliyevamia benki akiwa na bunduki aachiwe huru bila masharti

    Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti. Hussein alivamia Benki ya FBL Jijini Beirut akitaka apewe Dola 35,000 (Tsh. Milioni 81) kati ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Fikra huru kaa la moto kwa jamii?

    Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka. Baruch De Spinoza...
  16. JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  18. JamiiForums Tanzania Demokrasia huja kwa gharama sio lelemama, wagombanao ndio mapatanao. Tozoland tusahau uchaguzi huru na wa haki mpaka pale tu

    Peace be upon you all, Awali niweke wazi mimi sio mwanachama wa chama chochote, sina kadi ya chama chochote ila napenda haki. Ukweli ni kwamba BILA KUCHAPANA KAMWE HAKUNA KUHESHIMIANA. Kenya wamefika katika level hiyo ya uwazi baada ya machafuko waliyobatizana kwa mapanga na damu kumwagika...
  19. JamiiForums Tanzania Raha ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hakuna mwenye uhakika wa kushinda watu wanamenyana kweli kweli

    Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati, Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
  20. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA waliokabiliwa na kesi ya mauaji waachiwa huru Katavi

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia Walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuwaua wafanyabiashara waliokuwa wakinunua mazao katika Kijiji Chao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…