huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lema: Hakuna mazingira huru kabisa ya uchaguzi, ila imenipasa kutimiza wajibu

  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo huru: Kizazi cha wanaume wa miaka ya 1980s hadi 1990s ndo cha mwisho kufaidi mapenzi ya kweli kutoka kwa wanawake

    Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru kwa kukutwa hana hatia

    Nimekutana na taarifa zinadai kuwa Baltasar Ebang Engonga ameachiwa huru na kurudi mtaani baada ya kukutwa hana hatia kwani Wanawake wale aliokuwa akifanya nao ngono kwenye zile video zaidi ya 400 ni watu wazima na walionekana kuwa wameridhia kufanya na kurekodiwa. Aidha vipimo vilionesha hana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

    Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia : Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  7. JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  8. U

    JamiiForums Tanzania News Alert: Benjamin Netanyahu awaahidi waIran kuwa nchi yao itakombolewa hivi karibuni!

    News alert Netanyau awaahidi watu wa iran kuwa nchi yao itakuwa huru hivi karibuni , asema wataishi nao kwa amani kama ilivyokuwa zamani Waziri Mkuu huyo amewaambia watu wa Iran wasiruhusu kikundi kidogo cha wabakaji kukandamiza matumaini yao na kuua ndoto zako. Ameongeza kuwa Watoto wa...
  9. JamiiForums Tanzania P Diddy ana ajenda nyuma ya pazia

    P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community. Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana. Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama ukumbusho. Na atakapoachiwa Itaongeza nguvu kwa watu wa upinde waonekane kana kwamba hawana hatia...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Matokeo yanayotarajiwa kwa CHADEMA kufuatia maandamano ya Jumatatu 23 Septemba 2024.

    Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa kuzingatia uchambuzi huu usiofungamana na upande wowote: 1. Kushinikiza Serikali: CHADEMA...
  11. JamiiForums Tanzania Makosa waliyofanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu

    Tambua makosa ambayo walifanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu. Kwanza kitendo cha Sativa kutekwa na kunusurika na pia baadaye Sativa kumtambua Mafwele miongoni mwa watekaji, [kosa/ushauri]*ilibidi CHADEMA kupitia wanasheria wake na baadhi ya wanaharakati...
  12. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vinapaswa kuwa na msimamo kwa kurudi kuhamasisha tume huru kwani raisi hajatoa tume huru bali jina

    ."
  13. JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu: Vitengo vya karakana ndani ya vituo vya polisi ni kwa kazi gani? Uchunguzi huru ufanyike

    Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini. Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua...
  14. JamiiForums Tanzania "Majibu ya Mnyika : Rais Samia Asisitiza Haki, Uwajibikaji na Uchunguzi Huru"

    TISS na Polisi Hufanya Kazi Kulingana na Sheria: Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) na Jeshi la Polisi hufanya kazi chini ya sheria na taratibu za nchi, zikiwa na taratibu za kiuchunguzi zinazozingatia haki. Kuwatuhumu moja kwa moja bila ushahidi wa wazi ni kinyume na misingi ya haki na sheria...
  15. JamiiForums Tanzania Hadithi ya uumbaji inayotambuliwa na wajenzi huru

    HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI ➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya Hadithi ya uumbaji ya kitabu cha mwanzo ambayo kiukweli imeyageuza maandiko hayo ya Agano la kale...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu; Usimamizi wa fedha binafsi; mwongozo wa kupata, kutunza na kuzalisha fedha ili kuwa huru

    Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya? Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaoilaumu Israel kuwa ni serikali ya kibaguzi, picture hii ya waislam wakiwa huru na imani yao ndani ya Israel inawafundisha nini?

    https://x.com/JewishWarrior13/status/1828752674373935573
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
  19. JamiiForums Tanzania Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…