huria

  1. Analogia Malenga

    Nimepita Chuo Kikuu Huria - Kinondoni, nimeona pameandikwa 'hapauzwi'

    Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni. Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria. Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
  2. Logikos

    Tanzania tuna mfumo gani na tunataka Mfumo upi? Ubepari, Soko huria, au vyote?

    Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa? Ubepari? Market socialism? Ubepari ukiwa na Soko Huria? Soko Huria? Command Economy? Unknown (Yaani Made in Tanzania) Au...
  3. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Wenye majukumu ya kazi, biashara na familia jiungeni Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    WENYE MAJUKUMU YA KAZI BIASHARA NA FAMILIA JIUNGENI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA Kama wewe ni mtu ambaye una majukumu ya kazi, biashara au ya kifamilia na unapenda kujiendeleza kielimu, njoo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ndipo mahali pake. Chuo hiki cha umma kinaendeleza watumishi wa umma na...
  4. L

    Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  5. Analogia Malenga

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021. Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi...
  6. S

    Kwanini biashara ya kuzalisha na kusambaza umeme isiwe biashara huria ili TANESCO ishindane na makampuni binafsi?

    Wadau, hivi kuna ugumu gani sisi kama nchi tukawa na sera ya kuruhusu makampuni binafsi kusambaza na kuuza umeme kwa wateja badala ya makampuni haya kuruhusiwa kuzalisha umeme tu na kisha kulazimika kuwauzia TANESCO ambao ndio wenye haki pekee ya kusambaza na kuuza umeme hapa nchi? Faida ya...
  7. mfalmeselemani

    Naomba kujua gharama za ada Chuo Kikuu Huria

    Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees ili aweze kupokelewa na kuanza masomo. Natanguliza shukrani
  8. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  9. M

    Soko huria hili? Wakulima wakizalisha mahindi mengi hakuna soko. Kukiwa na uhaba wa mahindi wanakumbukwa

    Kwa wale mliowahi kulima mahindi mnalijua hili utapata faida nzuri,pale tu ambapo wewe umepata wenzio hawajapata. Kwa lugha rahisi kabisa, mahindi hupanda bei kukiwa na uhaba na kwa muktadha waTanzania, ni lazima kuwe na uhaba wa mvua. Kama hali ya hewa ni nzuri nchi nzima,kutakuwa na mavuno...
  10. Influenza

    Aliyekaa mahabusu miaka 7 kwa kukisababishia Chuo Kikuu Huria hasara, ahukumiwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu, Marietha Milinga kulipa fidia ya Sh12.9 milioni na kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kukisababishia hasara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). Milinga, amehukumiwa baada ya kukiri kosa. Alifanikiwa kulipa kiasi hicho cha...
  11. BenKaile

    Wanafunzi waliochaguliwa kozi ya foundation Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania) mwaka 2019/2020

    https://www.out.ac.tz/wp-content/uploads/2019/09/OFP-Approved-Applicants-for-201920-round-1-and-2-for-website.pdf
  12. BenKaile

    Wanafunzi waliochaguliwa foundation course Chuo Kikuu Huria cha Tanzania 2019/2020

    https://www.out.ac.tz/wp-content/uploads/2019/09/OFP-Approved-Applicants-for-201920-round-1-and-2-for-website.pdf
  13. moto ya mbongo

    Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

    Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
Back
Top Bottom