humprey polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Je, Humprey Polepole yuko hai? Ataachiwa!?

    Kuielewa mada hii pitia hii kwanza kisha ndio uendelee https://www.jamiiforums.com/threads/ilivyo-ngumu-kumlinda-mateka.1494053/ Kwa hali ilivyo ni wazi kwamba aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Cuba alitekwa na 'wasiojulikana' baada ya kuwabagaza vilivyo Swali muhimu je bado yuko hai? Na...
  2. R

    Wahariri (TEF) Waitaka Polisi Kuchunguza alipo Polepole

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limetoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kuchunguza kwa haraka na kwa makini taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey polepole ‎ ‎Wito wa jukwaa hilo umetolewa Oktoba 7, 2025 na Mwenyekiti wake Deodatus Balile kupitia taarifa...
  3. R

    GE2025 Polepole: Kuna jitihada zinaendelea ili kunyamazisha wanaopiga kelele juu ya wizi, ufisadi na rushwa lakini hakuna anaehangaika na Mwizi

    Akizungumza kwa njia ya mtandao Oktoba 5, 2025 , Humphrey Polepole alieleza mambo yanayoendelea nchini kuwa kuna watu wanaopiga kelele kuhusiana na wizi, ufisadi, rushwa, dhuluma, ujambazi na magenge ya kiuhalifu ya kimafia kama CCM Mtandao huku kukiwepo jitihada za kunyamazisha wale wanaopiga...
  4. Tlaatlaah

    Kwa sura tu Humphrey Polepole anaonekana ni mnafiki aliejawa tamaa, visasi na chuki binafsi

    Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio na faida yoyote. Lakini pia historia ya utumishi wake wa majigambo na dharau kwa wananchi alipokua...
  5. H

    GE2025 Maneno ya Polepole hayawasaidii Watanzania kwa sasa, ni unafiki

    Kuitumikia kwake serikali na viongozi fisadi na akakubali kuteuliwa nyadhifa mbalimbali serikalini akiyajua yoooote haya na kukaa nayo kimya ni wazi alikuwa ananufaika na huo uozo!! Nivyema akawashitaki wote anaowatuhumu kwa makosa yao siyo kuwatonesha vidonda watanzania ni uhuni.
  6. R

    GE2025 Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

    NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao...
  7. R

    Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye kuthibitisha uhalali wake Makalla ameyasema hayo leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma baada ya kuulizwa kuhusu...
  8. ward41

    Malawi: Balozi Humphrey Polepole awasilisha hati za utambulisha kwa Rais Lazarus Chakwera

  9. chiembe

    Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

    Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki. Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke? Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
  10. MAHANJU

    Humprey Polepole na Genge lako mtakwama sana, hamuwezi kushindana na dola.

    Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi; 1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie. 2.Mmejaa visasi na roho mbaya 3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu 4.Chama ni kikubwa kuliko nyie 5.Kuna wakati ni...
  11. funaku

    Ni Usaliti kwa mwanaCCM Kumpuuza au kumbeza Humprey Polepole

    Ni fact kuwa tulipokuwa tunaelekea uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa hoi bin taabani katika taswira yake kweye jamii. Alihitajika mwamba wa kuikomboa. Nampongeza Mhe Jakaya kwa kutulutea JPM ambaye aliiheshimisha CCM. Katika harakati za kampeni Magufuli alikiri kuwa wapo wana CCM waliokuwa...
  12. J

    Polepole, Mangula na wengine; wakati ndio huu

    Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu limefikia sasa. Wote tunakubaliana kuwa kila jambo huwa na mwisho wake na historia inajengwa na...
  13. Chee4

    Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

    Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija...
Back
Top Bottom