humphrey

Humphrey is both a masculine given name and a surname. An earlier form, not attested since Medieval times, was Hunfrid.
Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  2. JamiiForums Tanzania Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tumuulize H. Polepole, Nini kinafuata baada ya CCM kushupaza shingo?

    Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu? My suggestions: 1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata mawazo na mbinu za kwenda mbele....mbinu za vita haziwekwi hadharani 2. Tumia influence ya ubalozi wako...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kama leo hii akina Humphrey Polepole wanajificha hakuna aliye salama chini ya serikali ya CCM

    Humphrey Polepole ametoka kuwa statesman; mkuu wa wilaya, mwenezi wa CCM, mbunge, na balozi hadi kuwa mtu wa kuongea kwa kificho na mkimbizi wa nchi yake sasa hivi. Polepole hana uhakika na usalama wake na sasa amekuwa kama panya anayechungulia kutoka shimoni kwa umakini na wasiwasi mkubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

    Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake. Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

    09 Agosti 2025 Mtaa wa Kajificheni Intaneti HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025 https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa CCM haiwezi kuzijibu hoja za Humphrey Polepole

    Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho. Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi...
  8. JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume amemuita Polepole ni msaliti na mnafiki mkubwa

    Wakuu hii ni kweli ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…